Kuna haja ya kuliboresha zaidi baraza la mitihani la taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna haja ya kuliboresha zaidi baraza la mitihani la taifa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mabhuimerafulu, Jun 7, 2012.

 1. m

  mabhuimerafulu Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Watu wanalilalamikia baraza la mitihani la taifa (necta).nami nakubaliana nao na naona ipo haja ya kulimulika baraza hilo. Kumekuwa na malalamiko kwamba usahihishaji wa mitihani si wa kuridhisha na baadhi ya watahiniwa hufelishwa kutokana na tabia hiyo, ulipuaji. Kwanza unapokata rufaa ili papers zako zipitiwe wanachukua pesa bure hawasahihishi upya. Pili nadhani si sahihi ukate rufaa kwa necta ileile iliyokufelisha. Kiwepo chombo maalum cha kushughulikia rufaa hizo. Ukweli kuna madudu necta.wanajf mtakapochangia, natoa mifano halisi ya hali hii.ni madudu tupu
   
 2. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  TRA kuna madudu ya kutisha. NSSF usiseme. NECTA ni chombo pekee nchini kinachofanya kazi kwa uangalizi mkkubwa sana. Tumulike vyombo kama TRA sio kuandama chombo ambachho wafanyakazi wake wanafanya kazi nzuri kwenye mazingira magumu sana ya kifwdha.
   
 3. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  NECTA imefanikiwa sana kuziba mianya ya kuvuja mitihani. kilichotokea ni kosa la kiufundi ambalo limesharekebishwa. labda tushushe malaika waliendeshe!
   
 4. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Necta hakuna lolote hapo.
   
Loading...