Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

wakuu habari, natafuta websites ambazo ntaweza pata notes za masomo yafuatayo 1.DEVELOPMENT STUDIES 2.ACCOUNTS 3.BUSINESS LAW kwa yeyote mwenye msaada weka hapa ntaupitia kwa roho safi kabisa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hekima ingehitajika sana kutatua mgogoro baina ya walimu na mkuu wa shule-kutojali maisha binafsi,familia za walimu mgogoro baina ya wanafunzi wote na mkuu wa shule-mkuu washule...
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Wakuu, Napenda kuwajulisha kuwa Mtanzania wenzetu ametoa kitabu kizuri sana kiitwacho SUPU YA ELIMU. Kitabu hiki ni Muongozo, Dira na Barabara anayotakiwa kupita mtu ili aweze kupata mafanikio...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Niliwahi kupata ujumbe mfupi wa simu kuniarifu kuwa kuna chama kipya cha maafisa elimu (walimu wenye degree) kama mbadala kwa walimu ambao wamechoshwa na ubabaishaji wa cwt.Je ni taarifa za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtihani wa kidato cha pili, umemalizika kwa shule zilizo nyingi Tanzania. Mengi yamegundulika wakati wote wa mtihani lakini kubwa zaidi ni pale wanafunzi walipoonekana wameuchapa usingizi kwenye...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
BODI YA MIKOPO IMEAMUA KUWAFANYIA UFUSKA WANAFUNZI WANAOSOMA NJE, WAKIWEMO WA URUSI, HABARI ZA UHAKIKA KUTOKA KWA WANAFUNZI ( MAJINA TUNAYO) ZINASEMA , WALITAKIWA KUPATA HIZO HELA ZA KUJIKIMU...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wandugu mwenye taarifa kama list ya transfered students ishapelekwa loan boart anijulishe tafadhali
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa wale waliosimamia mtihani wa taifa kidato cha pili 2012 au wadau wengine wowote wa mtihani huu, naomba tujulishane mchanganuo wa posho ya usimamizi, semina na nauli kwa wasimamizi wakuu na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo wakati natoka kazini na natembea kwa miguu, nikasikia wanafunzi wa kike waliokuwa mbele yangu wakimshutumu mwalimu wao mmoja kuwa amezidisha tabia yake mbaya ya kutembea na wanafunzi. Wakadai...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
06/11/2012 By Mohamedi Mtoi Picha zinawaonesha wanafunzi waliokuwa katika chumba cha darasa wakifanya mtihani wa Taifa wa kidato cha pili ulioanza jana nchini kote Tanzania. Wanafunzi hawa...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Ni kituo cha Mabasi ya Mikoani Ubungo. Naingia kukata tiketi ya Arusha. Nimeshaipata. Sasa wakati natoka nje,nawakuta madereva wa taksi na bajaji wanawazonga vijana wawili:mmoja msichana,mmoja...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Hawa jamaa kuna watu wamewanyima mkopo kwa sababu za kitoto kabisa eti 1.kozi siyo priority wakati kuna wanafunzi wamepata mikopo bila kujali kozi za kipaumbele, 2.vilevile wamesema Tcu walikosea...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Independence of africa was both good and bad news to pan- africanists in the continent and diaspora.discuss this statement with examples
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimesikitishwa sana na kuona wahitimu wasio na sifa kutunukiwa shahada zao bila kufanya mitiani yao ya mwaka wa tatu hata mmoja. ...................hii ni usibitisho tosha ma Profesa wetu kwa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
kwa wote waliosoma Kahororo Sekondari nadhani mtakua mnamkumbuka Mwl. Agricola-mtaalamu wa somo la Phyiscs, ni kwamba mwalimu wetu huyo anaumwa na yuko hapa Dar es salaam akipatiwa matibabu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa anaesoma mitihani hii ya u.k au anajua taratibu na bei zake please..!!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Top 20 Universities and Colleges in Africa 1 University of Cape Town South Africa 2 Universiteit Stellenbosch South Africa 3 University of Pretoria South Africa 4...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Kuna haja ya Uongozi wa chuo kukemea vikali uvaaji mbovu wa mavazi,haswa hii jinsia ya kike mavazi wanayovaa ni balaa nusu uchi bila aibu wanaingia leacture theatres na wanafanya presentation...
1 Reactions
60 Replies
8K Views
Pia ningependa kujua range za ada za shule nzuri private za day km shaaban robert, mzizima, jitegemee, makongo, Mbezi beach, mbezi high. maana wakati huu wa kutafuta shule mnaweza kuwa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom