Kuwananunulia watoto vitabu marejesho

Mupirocin

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,739
744
Habari za Mchana wanaJf.
Wadau kulikuwa na thread humu jukwani iliyohusu kuwanunulia watoto vitabu kuwa vinaenmcourage kusoma.
Mimi nilifuata ule ushauri ni kamnunulia mtoto wangu vitabu 2 na shanga za kuhesabu sijui jina lake. Mtoto wangu ana umri wa mwaka mmoja na miezi nane sasa nilimnunulia akiwa ana 1.6yrs.
Matokeo ni kuwa mtoto kweli anapenda kushika vitabu vyake sana, pia anaweza kuaidentify baadhi picha hasa kama za paka na picha za watoto na picha za watu wanao sugua meno, utakuta anakwambia 'baba menyo'. It is very interesting siku nyingine anaamka asubuhi utakuta anasema baba ' choma' na anaweza kuhesabu na kuzitaja baadhi ya namba.
Nawashauri wanajf tuuzingatie ule ushauri wa mdau ni kweli unasaidia kwa maenmdeleo na ukuaji wa mtoto pia itasaidia kujua anapendelea nini with age.
Nawashukuru sana wanajf kwa ushauri wenu.
 
Back
Top Bottom