Hivii....ati ualimu ni taaluma ya watu mbofu mbofu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivii....ati ualimu ni taaluma ya watu mbofu mbofu?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mmteule, Jun 6, 2012.

 1. m

  mmteule JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,004
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  iweje unaingia darasani umevaa mlegezo kiunononi?iweje unaingia kufundisha darasani una headphone masikioni?iweje unavimendea vitoto vidooogo?unafundisha umekaa juu ya meza?unaingia kufundisha uko bwiiiiiii!!!!!bora Albert Mnali alivokuwa anawacharaza bakora
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Iweke vizuri nichangie, naona imekaa kimipasho zaidi
   
 3. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  kwan perfomance ya hao watoto yakoje kama nzur hakuna shida kabisa ,hata anaingia na pombe ila kama anafelsha ndio tatipzoooo.
   
 4. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mbofu mbofu ni nini!?
   
 5. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,857
  Likes Received: 4,242
  Trophy Points: 280
  We ni mwafunzi na utakuwa umechapwa, acha jazba ongea kwa vituo na ueleweke, walimu kuchapwa viboko haikusaidii chochote, kwani anayevaa mlegezo si anatokea nyumbani? wazazi wapo au hawapo? basi wazazi ndo wachapwe kwanza!
   
 6. mbise victor

  mbise victor Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sijui taaluma ulonayo we uliepost hii thread ila ninachojua we si mwalimu manake umeonesha kuwaponda but nataka ujue you can not value any profession if your mind is not brushed with some body and is the only teacher who can do that ila naona umesahau kidogo kwamba aliekuwezesha kuimba hiyo baadhi ya mipasho pia ni mwalimu ok najua hujui ila ukweli ndo huo hakuna mtu kazi ambayo inakosa wnaovunja profesonal code of conduct so usiseme huyo mediocre teacher uliemuona huko kwenu anajustfy kuwa ualimu ni kazi ya watu mbofu mbofu.HUNA HOJA JIESHIMU NA INASTAHILI BURN.
   
 7. Mzenjibar

  Mzenjibar Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  dats tru kaka
   
 8. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  mbona taarubu nyingi!!!..hii thread haijanivutia.
   
 9. a

  achilles Senior Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msimlaumu sana aliyepost mana amejustify kwamba yeye IS A MERE WALKING CORPSE. Hajui asemacho.
   
 10. n

  ndagabwene Member

  #10
  Jun 6, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nakubaliana nawe ndugu,cha msingi hapa ni kujiuliza:kwa nini walimu wanaonekana shimo la taka?kila kibaya kionekanacho kwa walimu ni gumzo.mi namashaka sana kuhusu vijana wa kitanzania tunakurupuka bila hata ya kufikiri kwa kina kwa nini haya yako hivi,nitatoa mfano;mara nyingi tunaona wanafunzi ndio wanaopewa zawadi wakifanya vizuri na sio walimu waliowawezesha kufaulu na kama ipo basi kwa nadra sana:kwa nini?tafakari sana ndugu kisha utakubaliana nami.kwa hiyo kufanya hivi ni kuonesha mabadiliko ya mfumo mzima wa elimu ikiwa ni pamoja na kuboresha maisha ya walimu ili wapende kazi na kuthamini kazi yao kama kazi nyingine yeyote ile na kuendana na wakati kwani nyakati hizi sio zile za mwalimu kuogopana na kunyenyekeana,la hasha!ni wakati wa "information"na mabadiliko na ndio maana vijana siku hizi tunaonekana kama hatuna maadili kumbe mambo yamebadilika.NI ZAIDI YA FIKRA NA HIVYO YAHITAJI BUSARA
   
 11. m

  mmteule JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,004
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  mbona ukweli unauwauma jaman????? wangapi ni walimu kwa kupenda taaluma hiyo??? au mmekua walimu kwa kuwa ndiko mokopo ya masomo ya juu inapatikana kiurahisi??? hoja yangu mjirekebishe ili mthaminiwe na jamii ya wasomi wengine!i
   
 12. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  1. Badili hiyo title ya post yako, haiendani na unachoongea.
  2. Unapozungumzia neno "mwalimu" haieleweki unazungumzia mwalimu gani kwani; anaefundisha vyuo vya veta
  nae anaitwa mwalimu, anaefundisha uganga wa kienyeji nae ni mwalimu, anaefundisha mamiss kutembea pia jina ni

  hilohilo, anaefundisha askari pale ccp nae ni vivyo hivyo, anaefundisha shule ya awali, msingi, sekondari, A-level,
  vyuo mbalimbali na hata vyuo vikuu wanawaita maprof. ma doctors lakini ki msingi bado wataitwa walimu tu.

  3. Usidhani ni walimu wote kwa maana yoyote ile iwayo wanasoma kwa mikopo, Mwalimu wa diploma ya elimu
  anakopeshwa na nani? Mwalimu wa daraja IIIA uliona akikopeshwa?

  4. Usipoteze muda wako wala wa watu wengine kujadili mambo yasiokuwa na maana, kama hujui jambo uliza
  utajibiwa na kama hujafanya utafiti usilete pumba hapa, hata kama title yako ingekuwa kwamba walimu wote ni
  vichwa maji, je wewe ambaye leo mwalimu amekutoa tongotongo si ungekuwa kichwa ma...i? ( uchafu utokao
  katika mwili wa mnyama kupitia njia ya haja kubwa)

  4
   
 13. Mshawa

  Mshawa JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 711
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Any way ngoja nifanye kama nimekuelewa, ila kabla ya kuchangia naomba mnisaidie majibu ya maswali haya;
  1. Hivi ni kwa nini mwl. wa shule za msingi na sekondari wengi wao wanaishi maisha dhalili sana?
  2.Hivi ni kwa nini walimu hawa ndio wanaongoza kwa kuidai serikali madeni?
  3.Hivi walimu hawa wanafanya kazi masaa mangapi kwa siku?
  4.Hivi ni walimu hawa ndio waliotufunza lugha na hizi herufi tunazounga na kuwasiliana hapa?
  5.Hivi kwa nini fani ya huu uwalimu ni dhalili hivyo kwenye jamii?
  6.Tafakari
   
 14. o

  opportunist2012 Member

  #14
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe ulioandika hii thread unafikiri kwa kutumia uti wa mgongo...kuadhibiwa na mwalimu wako isiwe sababu ya kuwaponda walimu wote..mbona unatumia muda wako na kuongelea upuuzi?...mwalimu huyohuyo unaemtusi ndo amekufikisha hapa na kutambua dunia kisha ukapata uwezo wa kuandika ujinga wako katika mtandao wa JF..Je bila ya mwalimu ungeweza kuandika upuuzi wako huu?..nyinyi ndo wale wanafunzi wanaoandika bongo flava kwenye mitihani ya Taifa.Mbona huzungumzii mambo mazuri ya walimu?..ACHA ULIMBUKENI NA UMBUMBU!
   
Loading...