Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 12,724
- 19,867
Hivi kwa nini mitihani ya UE isiwe inasahishwa na bodi maalumu kama ilivyo NECTA kwa shule za secodary natamani iwe hivi ili kupunguza unfair zinazotendwa na wahadhili wetu hapa Tz.Unakuta mdhari anajiona kama mwinyi na kufanya aogopwe utafikiri MUNGU mtu nakumbuka kabla ya kuingia chuoni nilipewa maneno ya kunitisha eti "usithubutu kugombana na lecture hata kama kakugongea demu wako" niliogopa sana kwa kweli na nilipoingia chuo niliziona unfair nyingi sana.Je kwa nin wasisahishe UE kule TCU kwa kuapoint wahadhili randomyl kutoka mavyuoni?