Kwasasa ndio tusemaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwasasa ndio tusemaje?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by VUTA-NKUVUTE, Jun 7, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,872
  Likes Received: 6,622
  Trophy Points: 280
  Wakati naanza shule ya msingi,niliaminishwa na kuamini kuwa wanafunzi wanaosoma Shule za Serikali ndio wenye 'akili' kuliko wale wa shule za binafsi.Nikaendelea kuamini hivyo hata nilipoanza Sekondari hadi kumaliza kwangu.Nilijivuna kwakuwa tangu chekechea hadi Chuo Kikuu nimesoma Shule na Chuo Kikuu cha Serikali.

  Wakati huo matokeo ya kidato cha nne au sita yakitoka,mchuano ulikuwa ni Mzumbe,Ilboru,Tabora Boys,Kilakala,Msalato,Kibaha,na shule nyinginezo za Serikali.Sasa mambo yamebadilika. Shule za binafsi(hasa za kidini) zinazifunika za Serikali.Tunaruhusiwa kusema kuwa sasa wanafunzi wenye 'akili' wako shule za binafsi? Tujadili...
   
 2. c

  chromosome New Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli bora ccm iondoke isiendelee kuiba pesa za wananchi, maana wanafanya mashindani ya kuiba pesa za wanyonge.
   
Loading...