Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kozi ya diploma in Journalism at London School Journalism (LSJ) through distance learning programme takes 2 years. Nimetumia miezi 9 kumaliza. NACTE wanasita kusajili cheti! Kuna logic? Unahija...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wana jf katika matokeo yangu nimepata physics-S,chem-D,Bios-D ,Bam-S, Gs-F. Je naweza soma medicine?
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakati bado kuna changamoto na sintofahamu nyingi katika sector ya elimu hapa kwetu,jirani zetu wanazunguza mengine kabisa,wakati kuna ukosefu wa vitendea kazi vya kufundishia,miundo mbinu...
0 Reactions
1 Replies
975 Views
je unaweza kujaza fomu za kuomba mkopo heslb kabla hujaomba chuo tcu?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Bodi ya mikopo wanasema taarifa zote juu ya uombaji mikopo zinapatikana www.heslb.go.tz lakini ukifungua unakuta habari za mwaka jana! Hakuna jipya!? Je tunaombaje mikopo? Na iyo 30000/=...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habar zenu wakuu.napenda kuwaslsha jambo hli lnalozuia baadh ya vjana kupata fursa ya kusma tasnia hii.wakat miundo mbnu yote ya kua na program hii ktka vyuo vkubwa kama muhmbili na bugando ambko...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
jaman wanajamvi za asubuh,naomba kujulishwa ilipo taasisi ya taaluma za kiswahili na adress zake kama inawezela.hata location itansaidia.asanteni
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Wakuu naomba kufahamishwa wapi nitapata data kuhusu idadi ya vyuo vikuu vilivyopo nchini na ada zake. Vilevile kama kuna mwenye data hizo naomba anipatie. Naomba pia kujua ada za shule za msingi...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wana JF Habari zenu!!!! Kuna jambo moja limetokea kwenye chuo kimoja hapa dar. Liko hivi Kuna mwanafunzi mmoja alikuwa anasoma chuo kimoja kinaitwa X (Not real name). Mwanafunzi huyu alisoma mwaka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwone huyu alipost ujinga juz baada ya necta kutangaza upya matokeo ya form 4 anajiita et sa siingekuwa siri yake tu secret 23:20 30th May 2013 Wadau nilishakata tamaa ya maisha baada ya kupata...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kila Mtanzania anajua kwamba elimu yetu kwa wakati huu iko njia panda hasa kutokana na ukweli kwamba serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi(CCM) kilichojigamba kuleta maisha bora kwa kila...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, wabunge wengi wa CCM waliochangia hotuba ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi wameoneshwa kufurahishwa na matokeo mapya yaliyotangazwa na Kawambwa baada ya yale ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nivema tukachukua muda huu tena kujaili suala hili ambalo sasa limekuwa kero hapa UDOM. kuna kiongozi mmoja wa serikari ya wanafunzi UDOSO Ed mekuwa akifanya mambo ambayo ni kinyume na sheria za...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
samahan wanajf naulizia website ambapo posts za form four kwenda form five huwa zinawekwa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salam wana jf msaada tafadhali naoma kuuliza je naweza pangia form 5 kwa matokeo hayaaaS****/014* M 25 III CIV-D HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-C BIO-D B/MATH-F
0 Reactions
2 Replies
936 Views
JF...! Wapendwa wana JF wadau wa elimu, nimechukua fursa kuomba msaada wa ushauri wenu kwa huyu dogo mwanaJF mwenzetu ambaye ni jirani yangu hapa home napoishi. Dogo matokeo yake ya kwanza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nitapataje fom zamikopo kwa chuo kikuu???
0 Reactions
3 Replies
2K Views
ndugu wanajamvi niko hapa mbeya.serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha teofilo kisanji au kwa kifupi TEKUSO ilifanya uchaguzi kupata viongozi wapya siku ya jumamosi,matokeo ya awali yalionyesha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Je London School of Journalism (LSJ) kinatambuliwa na Wizara ya elimu TZ?! Naomba mnifahamishe
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Kulikuwa na habari hapa kuwa CHADEMA imemwaga kitita cha milioni 9 kwenye uchaguzi wa serikali ya wanafunzi wa Chuo cha Ardhi jambo ambalo limesemwa lilikuwa ni "umbea", sasa hivi uongozi wa Chuo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom