Hili Limetokea

mwanalukago

Member
Feb 24, 2012
83
15
Wana JF Habari zenu!!!!
Kuna jambo moja limetokea kwenye chuo kimoja hapa dar. Liko hivi Kuna mwanafunzi mmoja alikuwa anasoma chuo kimoja kinaitwa X (Not real name). Mwanafunzi huyu alisoma mwaka wa kwanza kwenye X na alipokuwa akiingia mwaka wa pili alihama chu hicho na kuendelea na mwaka wa pili katika chuo Y(No real name). Na mwanafunzi huyu yupo mpaka sasa akiendelea na masomo yake katika chuo Y mwaka wa pili. Kinachonishangaza mimi ni huku kuhama, Hivi jambo hili linaruhusiwa kishera?
 
Obviously X and Y are not real names for any college/univ in TZA and YES it is possible and allowed to transfer from one college/univ to the other.
 
Wana JF Habari zenu!!!!
Kuna jambo moja limetokea kwenye chuo kimoja hapa dar. Liko hivi Kuna mwanafunzi mmoja alikuwa anasoma chuo kimoja kinaitwa X (Not real name). Mwanafunzi huyu alisoma mwaka wa kwanza kwenye X na alipokuwa akiingia mwaka wa pili alihama chu hicho na kuendelea na mwaka wa pili katika chuo Y(No real name). Na mwanafunzi huyu yupo mpaka sasa akiendelea na masomo yake katika chuo Y mwaka wa pili. Kinachonishangaza mimi ni huku kuhama, Hivi jambo hili linaruhusiwa kishera?

kali zaidi niliwahi kushuhudia mwanafunzi akihitimu shahada mbili kwa mpigo hapa hapa bongo kwa staili hii hii. kwahiyo usishangae kaka it happens.
 
Inawezekana bali there are many things involved,moja kati ya hayo ni kujuana kwan kuna rafiki yang ameshndwa kuhamishwa ingawa makosa yalifanywa na tcu kwa kumpanga chuo tofaut na mkopo walikomwekea!
 
Unanikumbusha mbali to die or to survive there are two things involve if you may die die you will be either manure or waste to the inviroment ......
 
Back
Top Bottom