samahan wanajf naulizia website ambapo posts za form four kwenda form five huwa zinawekwa.
unatakiwa uwe una google "waliochaguliwa kujiunga na kitado cha tano 2013" jaribu ata sa hv au
http://www.moe.go.tz
au stick hapa hapa jf utayaona live bila chenga