Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naomba mnisaidie, nina mdogo wangu anataka kuomba diploma ya ualimu kwenye vyuo vya serikali kupitia wizara ya elimu, lakn bado hajapata result slip. Sasa basi, naomba kujua kama tayari washaanza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yaani website ya hii board ni matatizo kabisa bora TCU wako systematic. Nimelipia elfu 30,000 tangu jana gharama ya kuapply mkopo HESLB lakini nahangaika tangu jana kila nikiingiza Transaction ID...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari zenu wanajf, nivizuri kuanza kusoma part gani ya chemistry kwa mwanafunzi anayeaanza kidato cha tano i.e physical,general,organic au inorganic chemistry?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau poleni na kazi, naomba mnihabarishe kuhusu mishahara mipya wa walimu itaongezeka kiasi gani kwa ngazi mbalimbali mf shahada kuna ndugu yangu mwalimu yupo huko kijijini ananisumbua sana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
I'm in hunger and thirst for knowledge, can anybody quench my thirst and feed me with an inspirational book..? ##PDF formats or title n author ar highly appreciated. I'm grateful for Ur...
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Habari wana JF . Naombeni mnisaidie kunishauri kozi ya kusoma kati ya hizi. 1.Bachelor of science in Agriculture general 2.Bachelor of science in Agronomy 3.Bachelor of science...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Natoa ushaul kama kaka niliyeona jua mapema kwa wale wote wenye mawazo ya kurudia mitihan au wanaotatizwa na maamuz waende chuo au Advance..Chuo kina faida kwasababu zifuatazo 1.Akil yako itakuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naitwa mwita mnyoro mkazi wa kijiji cha kubiterere, bunchari, tarime, mara, naomba msaada wa kusomeshwa kidato cha tano 2013 roho inaniuma mzazi wangu jembe lina mzeesha mwenye moyo wa kunisaidia...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Iz that tru?????
0 Reactions
0 Replies
764 Views
mdhamini wangu hana kadi ya kupigia kura ,hana pasi ya kusafiria na hana kitambulisho cha utaifa lakini ana kitambulidho cha kazi! je tunaweza kutumia hicho kama kiambatanisho?
0 Reactions
2 Replies
955 Views
Jamani nilikua naombeni ushauri kama una div 3 ya 17 yaani umepata bios C phy F chem F na S ya bam na g.s je unaweza kusomea diploma ya clinical officer au ualimu? naombeni msaada wa mawazo please
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nawasalim wote ndugu zangu,nilikuwa naomba kuuliza kuwa kama umwpata four ya 26 na unataka kwwnda uhasb chuo lkn masomo ya business umefil yani una F kwenye hayo masomo na hesabu pia,je utaenda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jf. Nisaidieni jinsi ya kuunganisha vyeti ya cheti original na matokeo ya ku-reseat.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
haya maswali ya nikasome program gani mara ooo mkopo nitapata ...waulizeni tcu na bodi !aaarrrrrgggghh sent via Samsung galaxy S4
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wana JF mnapoendelea kutafakari mambo ya siasa angalieni na matokeo ya ndugu zenu hapa http://www.necta.go.tz/matokeo2010/csee2010/olevel.htm
0 Reactions
6 Replies
28K Views
Nilikuwa kwenye website ya Elimu( ONLINE BEST ) natafuta data. Kuna data walizoweka humo, lakini ili uzipate, unatakiwa kufungua file lenye extension ya 'cub'. Nimejaribu kutafuta application...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Za mchana wana jamvi? Nipo kwenye mchakato wa kuanzisha Comunity Based Organization (CBO), Ombi langu ni kwamba ninahitaji msaada wa mambo ya msingi na hatua za kufuata wakati wa usajili...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Uongz wa cuhas umetoa siku15 kwa wanafnz ambao watakua hawajlipa ada kulpa fain ya lak1 na ktofanya mthn wa sem hii mpka mwka ujao.kwa hl mnaumiza watt wa wakulma wacokua na uwezo wa kulpa kiac...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ukilipia mpesa transaction id ndio ipi maana naona inanizingua
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jaman wadau mimi nimemaliza form six na nna div 3 y 16 kwa Combi ya PCB matokeo yangu ni Physics-F, chemistry-D, biology-E ; naombeni ushauri wa course itayonifaa na chuo. I need advice
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Back
Top Bottom