Kwa haya matokeo naweza pangiwa hge

No More Drama

Member
Jun 2, 2013
95
19
Salam
wana jf msaada tafadhali naoma kuuliza je naweza pangia form 5 kwa matokeo hayaaaS****/014*
M
25
III
CIV-D HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-C BIO-D B/MATH-F
 
HGE na EGM, hizi combs lazima somo moja huwe umepata kuanzia B na kuendelea, najingine kuanzia C na kuendelea ili kuchaguliwa shule za government. Hapo shule ya za serikali utapata ila tegemea kupangiwa HGL au HKL .
 
Salam
wana jf msaada tafadhali naoma kuuliza je naweza pangia form 5 kwa matokeo hayaaaS****/014*
M
25
III
CIV-D HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-C BIO-D B/MATH-F

nenda private dogo koz una F ya math usitegemee govt huwezi pangwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom