Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wakuu habari za Jumapili, Niseme, mwaka huu 2023 nimehitimu Shahada ya Umahiri ama Master's Degree kwenye fani ya uchawi na ushirikina chuo kikuu. Kwenye kuisoma hiyo fani, kilichonishangaza...
18 Reactions
135 Replies
8K Views
Habari wana JF, Naomba kujuwa maelezo zaidi ya kozi hii na fursa zake kwa ujumla.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watoto wa shule wenye umri wa miaka13-17wanapakiwa kwenye gari na kupelekwa shamba kwa nakubaliana ya malipo ya7000 kutwa baada ya kazi ya kupanda.Je hii ni dawa?
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Jmn wanandugu habari zenu naomba msaada wenu nataka kujua na kujifunza kichina ni WAP naweza kujifunza kichina icho maana kuna Siku nlisikia kweny redio kuna chuo wanafundisha bure cha wachina...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Jamani msaada wenu mliojiunga Naomba kujua wapi najiunga? Kwa kawaida kuna eneo limeandikwa register here Lkn hapo siooni
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ninashindwa kujua ni ipi kanuni ama mwongozo wa mitihani ya mock Tanzania, ninauliza maana sina uhakika kwamba hiyo inampima mwanafunzi kwa kiwango kipi yaani ufauli ni upi? ama kufeli ni alama...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani tunaomba msaada sisi wana UDOM. Sikatai madarasa mazuri kabisa na pia masomo yanaenda vizuri na walimu wanafanya kazi vizuri sana lakini shida ni vyoo jamani. Vyoo vimejaa balaa na hivyo...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari, Naomba tujadili hili ni sawa? Tarehe 3 January 2024 bodi ya mikopo ilitangaza kuongeza KOZI mpya tatu zitakazonufaika kwa mikopo diploma na kueleza kuwa maombi ya mikopo yataanza tokea...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii Shule kwenye matawi yake yote ya Dar na Dodoma wanalazimisha watoto wa darasa la 4 na 7 kuanza masomo saa 12 asubuhi na wanamaliza kusoma saa 11 na nusu jioni. Yaani watoto wadogo wa miaka 7...
3 Reactions
70 Replies
5K Views
Tumeendelea kutoa masomo kwa njia ya Mtandao. Yaani Online Learning. Utaweza kujipatia mafunzo popote ulipo kupitia mfumo wetu wa kidigitali wa ufundishaji. Utaweza kuonana na walimu ana kwa ana...
0 Reactions
1 Replies
629 Views
Habari zenu wadau wa elimu? Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Awali ya yote napenda ku declare interest kuwa mimi ni mwanafunzi wa zamani na mshauri wa masuala ya...
25 Reactions
102 Replies
15K Views
Habarini, Happy New Year Wana Jukwaa la Elimu!! Chuo gani kinatoa kozi za Ualimu wa Chekechea/awali kwa kanda ya ziwa.
0 Reactions
1 Replies
687 Views
TAARISA YA FURSA YA MASOMO NGAZI YA UMAHIRI, PROGRAMU YA SERA YA UMMA NA UCHUMI KATIKA CHUO KIKUU TSUKUBA NCHINI JAPAN Ubalozi umepokea taarifa kutoka Chuo Kikuu Tsukuba kilichopo nchini Japan...
0 Reactions
1 Replies
851 Views
Hii course ya Data Science ndio ikoje inamaokoto na je ajira zake zinapatilana wapi?
0 Reactions
3 Replies
553 Views
Habari wanajukwaa hili muhimu, Leo nimekuja na hoja ya kutaka kujua juu ya Elimu inayopatikana kwa njia ya mtandao (on-line) hasa kutoka vyuo vya nje. Je, unaweza kutambulika kama mhitimu? Je...
1 Reactions
2 Replies
818 Views
Habari wandugu, napenda kujumuika na ndugu zangu wote ambao wanaingia mwaka wa kwanza wa masomo 2023/2024 katika vyuo vyote tupeane mawazo, ushauri na tusaidizane changamoto zetu, ni njema pia...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Hello members, Naomba yeyote mwenye info kuhusu hiki chuo kilichopo Arusha mitaa ya Denish. Nimeona website yao wanatoa short courses but tuition fee yao ipo juu sana. Je kuna mtu mwenye taarifa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mm ni mwanafunzi wa chuo X kada ya ualimu mwaka wa pili (degree) lakini pia nazitamani sana hizi kazi za uafisa utendaji wa kata ikitokea ajira katika ualimu ikiwa ni changamoto kupata. Sasa...
6 Reactions
80 Replies
11K Views
Naona Wizara ya Elimu kushirikiana na TAMISEMI wanaendelea kufanya maboresho kwa walimu juu ya uelewa na utekelezaji wa mtaala mpya ulioletwa. Shida yangu iko pahala, Maafisa Elimu ngazi za mikoa...
3 Reactions
0 Replies
650 Views
Back
Top Bottom