Kozi zipi za ufundi nzuri kwa mtoto wa kike?

mwanyaluke

JF-Expert Member
Jan 22, 2015
473
1,448
Nina mdogo wangu nataka kumsaidia asome ufundi, lakini nikimtazama umbile lake, urembo wake nashindwa kumtaftia nini cha kusoma.

Angekuwa wa kiume ningempeleka VETA Shiyanga asome iether machine oparators au heavy duty machenics. Sitaki asome sijui kupamba ukumbi,ususi, ushonaji nguo, nataka course ambazo atleast zina sound.

NB: wawezeshe watoto wa kike ili badae wasijiuze kama njia ya kujikomboa na maisha.
 
Ushonaji ni mzuri kama ataufikiria Kwa namna ya kibiashara akawa design mzuri akapambana na ma celebrity na watu wa vipato vya kati.

Akasome computer science, IT, nk
 
iether machine operator ni operator wa nini? Au ulikuwa na maana ya plant operator?

Okay ukiachana hayo kwanza yeye mwenyewe ulipaswa kujua anapendelea nini, hiyo uliyosema heavy duty mechanics kwanini umeona haimfai?
Ukiachana na hiyo kuna auto electrical (umeme wa magari) ambayo endapo ana passion akijituma na kudig deep atafika mbali.

Kuna electronics vile vile endapo atakuwa na passion nayo ni nzuri.

Kuna office machine maintenance vitu kama photocopy machine, printers n.k

Muhimu kujua anahitaji nini unaweza sema umtafutie fani kama umeme wa majumba kumbe anapenda welding na metal fabrication au computer.
 
Tupia kapicha bwana na sisi tuone tusuuze macho yetu! Naomba nije PM kama utaniruhusu!
 
Back
Top Bottom