Niko nimekaa na dogo hapa namhoji kidogo habari za chuo na maendeleo yake! Yeye anasoma UDSM college moja iv ya science.
Dogo ananiambia et wenyewe hata usipo fikisha course work ilifika UE utaingia kama kawa ukapambane huko mwenyewe kufidia hizo marks zilizo pelea.
Nimeshangaa asee ina maana saiv mambo ndo rahisi ivo??? Watalaam Naombeni ufafanuzi?? Maana mimi najua enzi zetu course work isipo fika ndo umeliwa ivo huingii kwenye UE au saiv mambo yamebadilika??