Kupata $1 mpaka $5 kwa siku Ni rahisi ukijifunza hizi skills

youngkato

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
3,254
2,910
Kupata $1 mpaka $5 kwa siku
Ni rahisi ukijifunza hizi skills

1. Audience building
2. Copywriting
3. Sales & Closing
4. Offer creation
5. Affiliate marketing
6. Content creation
7. WhatsApp marketing
8. Persuasion and attention

Zitakusaidia kuuza products nyingi online
 
1$?
Kweli zis kantri iz veri pua
Usiibeze coz hizo kazi hazitumii nguvu na mda mwingi miaka ya nyuma nlikua nafanya online research na afrisight wanalipa kiduchu sana almost dola 0.97 per responce na huzipati kila siku within year nlitengeneza dola 1560 na ni maswali rahisi tu unafanya kama unacheza game tu haili bando so usiwakatishe tamaa watu
 
Kupata $1 mpaka $5 kwa siku
Ni rahisi ukijifunza hizi skills

1. Audience building
2. Copywriting
3. Sales & Closing
4. Offer creation
5. Affiliate marketing
6. Content creation
7. WhatsApp marketing
8. Persuasion and attention

Zitakusaidia kuuza products nyingi online
Sasa haya maviteminoloji ya mavingeleza tutajua unaongea vitu gani kwa mtu unayetaka afahamu uzi wako! Jifunze kuongea kwa lugha inayoeleweka! Fresh graduate Bwaaaanah!
 
Usiibeze coz hizo kazi hazitumii nguvu na mda mwingi miaka ya nyuma nlikua nafanya online research na afrisight wanalipa kiduchu sana almost dola 0.97 per responce na huzipati kila siku within year nlitengeneza dola 1560 na ni maswali rahisi tu unafanya kama unacheza game tu haili bando so usiwakatishe tamaa watu
Sijabeza mkuu
 
Kwanini uliacha
 
FOREX UKIFAHAMU KUPATA USD 25 KWA SIKU NI JAMBO LA KAWAIDA NA SOKO LA GOLD KUPATA USD 1000 KWA SIKU NI KAWAIDA.
ANGALIZO USIJARIBU UNAWEZA KUCHOMA PESA
 
....zamani nlikuwa na ile app inayotwa premise,ilinisaidia sana kupata vipesa vya vocha kupata hyo elf 2 adi 5 kwa siku ilikuwa kawaida sana....baada ya kupandisha kiwango cha kutoa pesa na mashart mengne niliachana nayo
 
Kupata $1 mpaka $5 kwa siku
Ni rahisi ukijifunza hizi skills

1. Audience building
2. Copywriting
3. Sales & Closing
4. Offer creation
5. Affiliate marketing
6. Content creation
7. WhatsApp marketing
8. Persuasion and attention

Zitakusaidia kuuza products nyingi online

we unaingiza sh ngap
 
NATAFUTA WATU WA AINA 3

1. SIJAPATA AJIRA LAKINI:
- Nimechoka kukaa nyumbani bila kufanya chochote.
~ Nataka kujenga urithi kwa familia yangu.
~ Nahitaji Kipato changu Mwenyewe

2. NIMEAJIRIWA LAKINI:
- Mshahara wangu hautoshi kukidhi mahitaji yangu yote.
~ Nahitaji kipato cha ziada.
~ Natafuta utulivu/uhuru wa kifedha.
~ Nimechoka kusubiri mshahara kila mwezi.

3. NAPENDA KUSAFIRI LAKINI:
~Siwezi kumudu.
~ Mapato yangu ya kila mwezi hayaniruhusu kuweka akiba kwa likizo. ~Sina uhuru wa kifedha.

• Tunatoa Fursa ya Biashara kwa kila mtu ambaye anataka kutimiza malengo na ndoto zake huu mwaka 2024

If You are Interested, Feel free to CLICK THE LINK FOR MORE | WORK WITH ME
In WhatsApp teilen
 
Back
Top Bottom