Matumizi ya AI kujibu maswali vyuoni ni kudumaza akili

Nakumbuka kila assignment tutakayopewa either iwe individual au group sisi tunatumia tu bot letu kwisha kazi hakuna cha kwenda library wala nini, kwnz hata discussion hakuna ni bot ty daaah hili taifs mbeleni watazalishwa wasomi hewa
Hayo ni maendeleo na wala siyo kudumaza akili. Kwani zilizogunduliwa calculator akili zetu zilisimama?

Ukiona hivyo ujue elimu kwa sasa siyo dili, hiyo sector inapaswa kuboreshwa na katika ufundishaji. Na katika maboresho muda wa masomo ipunguzwe, kama degree inachukua miaka 3, sasa iwe miaka 1. Waache kuwa wanawapa maswali mbuzi ambayo tayari AI anafanya.

Mfano, ATM za bank zilipofungwa, tellers wengi walikuwa replaced, ila hao tellers lazima walipata kazi zingine maana walikuwa useless.

Wanafunzi kuliko kukaa darasani na kukariirishwa ujinga, ni bora waende shambani walime kilimo cha kisasa, kazi ambayo AI haiwezi fanya.
 
sema baadhi ndo hutumia vibaya,

Sasa masomo ya sayansi na walimu wa bondo unakua huna jinsi, mwalimu anakupa mfano wa C++ bila ku break down kila statement inamaana gani, unafanyaje? Ukimpa chatgpt anakwambia kila details.

Waache madogo
 
Akili inaduma ukitaka kujua just muulize swali na mwambie akuelezee vizuri yaani utacheka sana hamna kitu kbs afu unakuta assignment kapiga 9 au 10 zote
 
Nakumbuka kila assignment tutakayopewa either iwe individual au group sisi tunatumia tu bot letu kwisha kazi hakuna cha kwenda library wala nini, kwnz hata discussion hakuna ni bot ty daaah hili taifs mbeleni watazalishwa wasomi hewa
emoji1.png
emoji1.png
emoji1.png
uwezi kwepa mpaka simu janja yako ni AI
 
Hayo ni maendeleo na wala siyo kudumaza akili. Kwani zilizogunduliwa calculator akili zetu zilisimama?

Ukiona hivyo ujue elimu kwa sasa siyo dili, hiyo sector inapaswa kuboreshwa na katika ufundishaji. Na katika maboresho muda wa masomo ipunguzwe, kama degree inachukua miaka 3, sasa iwe miaka 1. Waache kuwa wanawapa maswali mbuzi ambayo tayari AI anafanya.

Mfano, ATM za bank zilipofungwa, tellers wengi walikuwa replaced, ila hao tellers lazima walipata kazi zingine maana walikuwa useless.

Wanafunzi kuliko kukaa darasani na kukariirishwa ujinga, ni bora waende shambani walime kilimo cha kisasa, kazi ambayo AI haiwezi fanya.
Hio anasababisha wasomi wasioelewa maana mtu aliesoma kitumia AI tu hasa kozi za economics uchumi wa nchi lazima uporomokeee
 
Kweli kaka nakubaliana na wewe, kuhusu cv nafungua bot langu naandika cv writting format kwishaaa kazi
Endelea kuamini kwenye kuandika huku mtaani inatakiwa efficiency ya ulichoandika!

Huku ni Deliverance!

Kuna kazi zinatangazwa na wanakosa watu kisa vijana hawana Efficiency/ Uwezo ni mdogo!

Sasa wewe endelea kutumia AI ila Jua kwenye Kufanya Kazi utakuwa wewe na mwili wako sio AI.

Itumie AI kukurahisishia kazi sio AI ikufanyie kazi na kichwani ubaki mtupu.

Hapa nilipo Kuna kazi anahitajika mtu ila huyo mwenye hiyo kazi anasema watu anaowapata hawaridhishi kiuwezo!

Tena kipindi hiki ambacho wenzako wanategema AI wewe ndio ingebidi ujitahidi uwe na Competence ya hali ya Juu utapata soko haraka sana!
 
Fact
 
Back
Top Bottom