Je, Ufanisi wa elimu ya nchi unatusaidia katika kazi?

Am For Real

Senior Member
Nov 21, 2023
165
455
Hivi zile slides ambazo walimu vyuoni wanakimbizana kumaliza Kwa haraka huku wanafunzi wakishindana kukariri (Kuzima moto) zina Ufanisi wowote au tunazidi dumaza elimu yetu?
 
Back
Top Bottom