Kama wewe ni mwanafunzi na uko Mbeya karibu usome kwangu

Jan 31, 2024
42
119
Jamani mimi kijana umri wangu miaka 26 niko Mbeya, elimu yangu ni degree niliyoipata katika chuo cha udom na fani niliyosomea ni ualimu kwa bahati mbaya sijaajiriwa lakini bado najitafuta.

Kwa wanafunzi ambao mko mbeya mjini haijalishi ni watu wazima au vijana wadogo mnaotafuta tuition ya kufundishwa muda wowote ule njooni niwafundishe najiamini niko vizuri.

Masomo ninayofundisha ni geography kote A level na o level ,English kote A level na O level, history kote Alevel na o level, general studies, civics, litelature in english, kiswahili na kwa upande wa biology na chemistry nafundisha form one na form two pekee yake.

Bei zangu ni kawaida tu jamani kwa sababu napenda kufundisha, kama ww ni mtu mzima usijali wewe njoo tu nitakufanya ufaulu pia kama una mdogo pia unaweza ukamleta pia mawasiliano yangu ni 0753340802
 
Back
Top Bottom