Naombeni ushauri wenu

Barnaba Fumbo

Member
Nov 17, 2023
13
16
Kuna mdogo wangu alisoma PCB form six akafaulu kwa div one.

Aliomba chuo mwaka jana course za afya lakini hakufanikiwa akadai ataenda chuo mwaka huu 2024/2025.

Mwaka huu anasema anataka akasome course moja wapo kati ya hizi.

1. Bachelor of Computer science

2. Bachelor of Chemistry

3. Bachelor of Logistics and Transport

4. Bachelor of Physiotherapy

Je ni ipi course nzuri kati ya hizo?

Natanguliza Shukrani kwenu wana JF NAOMBENI ushirikiano
 
Asome course ambayo atatoa huduma Kwa jamii yaani 'service'

Afya
Ualimu
Kilimo
 
Asome Computer Science, makampuni yanahitaji watu wa ku-automate mambo na ku-manage data

Na vile mambo mengi yanawekwa kwenye mifumo ya kidigitali....

CS na kozi zifananzo ni no brainer
 
Kuna mdogo wangu alisoma PCB form six akafaulu kwa div one.

Aliomba chuo mwaka jana course za afya lakini hakufanikiwa akadai ataenda chuo mwaka huu 2024/2025.

Mwaka huu anasema anataka akasome course moja wapo kati ya hizi.

1. Bachelor of Computer science

2. Bachelor of Chemistry

3. Bachelor of Logistics and Transport

4. Bachelor of Physiotherapy

Je ni ipi course nzuri kati ya hizo?

Natanguliza Shukrani kwenu wana JF NAOMBENI ushirikiano
Aisee kwa sasa hivi huna connection kasome vitu ambavyo ukimaliza unaweza kujiajiri kilimo,phamarcy na mifugo zimekaa vizur zaidi
Pia kuna course ya mambo ya radiology naona ni ngeni ila ajira sijui kama zinapatikana
 
1
 
Yeah! hii imekaa vizuri
 
Muulize anataka kuajiriwa au kujiajiri hapo ndo tutapata pa kuanzia.
NB: hiyo Logistics nimeisoma ila nafanya maswala mengine kabisa kama hana connection asijichanganye hapo.
 
Back
Top Bottom