Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Mimi ni mwajiriwa mpya wa ajira za ualimu (Idara ya Sekondari). Hapa tayari nimepata mtu wa kubadilishana nae halmashauri za kufanyia kazi. Naombeni ushauri wadau, tunapaswa kufanya nini sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
tafadhari jaman naomba mnijuze utaratibu wa kusoma open university degree ya pili na Ada yake ni kiasi gani na unasoma kwa muda gani.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Degrees and Diplomas ....chuo kikuu cha bukoba sasa kipo tayari kupokea watu katika kada tofauti tofauti.chuo hicho ambacho kimeweka kozi za kutosha kukabiliana na uhaba wa vyuo ukitofautisha na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nipo rorya Mara idara ya s/msingi naomba kubadilishana kituo na mwalimu kutoka wilaya yeyote ya Arusha au Manyara. call 0786388710
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Vigezo unatakiwa uwe na at least c tatu kwenye physics,biology,chemisty kachaguliwa kupitia njia fupi, itakua na madhara ganin kwake baadae
0 Reactions
6 Replies
2K Views
LECTURE BY HON. DR. FRANK-WALTER STEINMEIER This is to inform the University of Dar es Salaam community that on Tuesday 25th March 2014, the Federal Foreign Minister of Germany...
2 Reactions
0 Replies
927 Views
Wadau ninataka kuchukua kozi ya diploma pale TIA but ni kati ya Kozi hizi mbili Bussines administration au Procurement and Supply,So naomba ushauri wako hivi ipi ipo kwenye soko?Asanten
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanaJF. Poleni na mihangaiko ya maisha, natanguliza shukran kwa kuchukua muda wako na kusoma uzi huu naomba msaada wa haya mambo mawili 1. Ni kozi ipi iko nzuri(marketable) na itanifaa...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Tafadhalini wadau nisaidieni kutambua shule zenye ufundishaji mzuri Kwa A-level, Moa wa Kilimanjaro, Arusha au Mbeya arts Combination. Maana Nina mdogo wangu anahitaji kupata shule Kwa ajili ya...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu naombwa kujuzwa, natakiwa kuwa na vitu gani muhimu ambavyo vitahitajiwa na Mkurugenzi wa Halmashauri husika au ofisi ya shule. Hii itanisaidia kuviandaa vitu hivyo mapema na kuepusha...
0 Reactions
122 Replies
16K Views
Wakuu kuna hoja tulikuwa tunajadili kwamba ili kuboresha elimu ya tanzania vitu gani vifanyike? ,miundombinu,mishahara,au nin ahsanteni,
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau naomba "function" of RELATIVE VELOCITY.
0 Reactions
4 Replies
983 Views
Tangu jana kipengele cha kufanya usajili kwa Private Candidates kwenye website ya Www.necta.go.tz hakifunguki, nashindwa kuamini ni kweli kipengele hicho hakifanyi kazi au kuna namna wamebadili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Dear Jamii Forum Members,May I take this opportunity to introduce to you Migration Solutions Canada (MSCI) MSCI is an accredited and Canadian Government authorized and licensed Immigration...
0 Reactions
4 Replies
941 Views
Dear Jamii Forum Members,May I take this opportunity to introduce to you Migration Solutions Canada (MSCI) MSCI is an accredited and Canadian Government authorized and licensed Immigration...
0 Reactions
0 Replies
493 Views
Hivi Alama Za Ufaulu Za Advanced Level Kuanzia Mwaka Huu Zikoje?
0 Reactions
1 Replies
775 Views
Wana JF naombeni msaada wa mawazo yenu,nipo kwenye dilema kama title inavyosema
1 Reactions
61 Replies
5K Views
wakuu nimegundua kuwa chuo ni chuo, kinachotakiwa ni uelewa tu kichwani mwako na ndio maana kunainterview ili kuwachuja watu ,
0 Reactions
22 Replies
2K Views
leo nimeenda kwenye hiki chuo ninayoyaona ni aibu sana ,nimeenda kwenye noticeboard yao nikakuta matokeo yamebandikwa kwa majina kabisaa ,hizo G.P.Asasa ni hatari ni mafirst class na maupper...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
A noble cause
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Back
Top Bottom