ni nani aliwachoma moto watoto wa SHAURITANGA?

Nasubiri kupata facts hapa, kwa mi binfsi ni muhanga wa tukio hili. karibuni wenye kufahamu mtujuze
 
Nchi yetu huwa na kaugonjwa ka kusahau. ...
Hapa ukurasa wao ulishafungwa bila uthibitisho wa tetesi zilizokuwepo kipindi kile.....(wanakijiji walikuwa na uhasama na shule kama sikosei?)
 
padri shauritanga angekuwa hai tungemuuliza kwa nn alimrusha yule bibi hilo shamba lililojengwa shule alafu mambo mengine ndo 2je hapa kujadili kwa nini shule ilichomwa moto.
 
Back
Top Bottom