LECTURE BY HON. DR. FRANK-WALTER STEINMEIER
This is to inform the University of Dar es Salaam community that on Tuesday 25th March 2014, the Federal Foreign Minister of Germany...
Wadau ninataka kuchukua kozi ya diploma pale TIA but ni kati ya Kozi hizi mbili Bussines administration au Procurement and Supply,So naomba ushauri wako hivi ipi ipo kwenye soko?Asanten
Habari wanaJF.
Poleni na mihangaiko ya maisha, natanguliza shukran kwa kuchukua muda wako na kusoma uzi huu naomba msaada wa haya mambo mawili
1. Ni kozi ipi iko nzuri(marketable) na itanifaa...
Tafadhalini wadau nisaidieni kutambua shule zenye ufundishaji mzuri Kwa A-level, Moa wa Kilimanjaro, Arusha au Mbeya arts Combination. Maana Nina mdogo wangu anahitaji kupata shule Kwa ajili ya...
Wakuu naombwa kujuzwa, natakiwa kuwa na vitu gani muhimu ambavyo vitahitajiwa na Mkurugenzi wa Halmashauri husika au ofisi ya shule. Hii itanisaidia kuviandaa vitu hivyo mapema na kuepusha...
Tangu jana kipengele cha kufanya usajili kwa Private Candidates kwenye website ya Www.necta.go.tz hakifunguki,
nashindwa kuamini ni kweli kipengele hicho hakifanyi kazi au kuna namna wamebadili...
Dear Jamii Forum Members,May I take this opportunity to introduce to you Migration Solutions Canada (MSCI)
MSCI is an accredited and Canadian Government authorized and licensed Immigration...
Dear Jamii Forum Members,May I take this opportunity to introduce to you Migration Solutions Canada (MSCI)
MSCI is an accredited and Canadian Government authorized and licensed Immigration...
leo nimeenda kwenye hiki chuo ninayoyaona ni aibu sana ,nimeenda kwenye noticeboard yao nikakuta matokeo yamebandikwa kwa majina kabisaa ,hizo G.P.Asasa ni hatari ni mafirst class na maupper...
Wadau poleni sana na kazi. Mi natafuta shule ya kusoma iwe private au govement nzuli yenye kombi ya egm. Kama zipo naomba unijulishe na kama ni za prvte naomba unielekeze japo sehemu ya kuzipata...
tukumbushane vituko vya pale nakukumbuka sana mwl kisinza(rip) na mwl kitindi na masunga endelea kutililika jamani bila kumsahau chisumo maarufu km assume
nimeikumbuka hii story ya Mtakuja primary school shule ya msingi. Hoja si hiyo.
Hivi nini msaada na ufanisi wa somo la kiingereza shule za msingi za serikali?
Kila mtu ana maoni yake ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.