The FALL oF UDSM?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,271
1,195
Source Prof Mkandara

Leo Mkandara ameudhihirisha umma kuwa sasa UDSM wanatembeza bakuri cake wanayopewa haitoshi kutoka serikalini, mpaka sasa cake wanakula UDOM. hii imesababisha mgogoro mkubwa katika colledge tofauti tofauti(coet etc). Akiongea katika TBC1 leo Prof mkandara amesema UDSM walikuwa wanapokea cake kubwa lakini kwa sasa inaenda UDOM

1.kwanini serikali imekitupa udsm?
2. kwanin serkali haijali raslimali watu?
3 Miaka 50 chuo kinaenda nyuma sio mbeli

penye ukweli nakosoa serikali yangu
 
Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Nov 5, 2006
10,188
2,000
serikali ya kikwete inavyofanya sio vizuri...kuamua kujenga chuo dodoma ...haikumaanisha tuuwe chuo chetu kinachotambulika duniani cha dar es salaam......kote wanasoma watoto wetu ....kuwabagua UDSM kwa sababu mtu wanafunzi wa UDSM wanamwambia ukweli na kugoma sio halali...
 
Zakumi

JF-Expert Member
Sep 24, 2008
5,067

Phillemon Mikael:

Point ya kuwa UDSM ni chuo kinachotambuliwa duniani ni finyu sana. Na kama kinatambuliwa duniani basi kingeweza ku-attact wanafunzi kutoka nchi zingine ambao wangeweza kulipa gharama.

UDSM is spoiled. Kuna kipindi walikuwa hawatambui diploma kutoka vyuo vingine. Na kitu kitachosaidia UDSM sio serikali kuongeza matumizi ya chuo hicho, bali kuwa na upinzani kutoka vyuo vingine.
 
Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,605

Unachoshauri ndicho mnachokifanya na kushauriana kukifanya kwenye State Universities zenu huko Marikani?
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,409
2,000
Habari ya 'cake" ni kisingizio tu, kutafuta mchawi tu. UDSM imeAanza kuwa in decline long before UDOM.
 
mzee wa wazee

Member
Nov 1, 2010
70
0
Kama mshika dau mmojawapo hapo UDSM aka CKD nasikitika sana na taarifa hizi, nashawishika kumwuliza swahiba wa mkwere (Mkandala) amefanya nini kabla ya kulia ukata hadharani. Yale magari pale utawala VX na sasa V8 yanatafuna mkojo au maji. Na bado, tabia ya kulilia ukata wakati unatapanya ni ujinga na ushenzi mkubwa. Naipenda chuo changu na nailililia sana inapodorora and will fight for it.
 
Tunga

Member
Nov 22, 2010
73
0
hicho ni chuo cha CCM ndio maana wanakihudumia zaidi kiukweli hatutafika mbali..........
 
Cynic

JF-Expert Member
Jan 5, 2009
5,146
2,000
Siku zote/tangu kianze, serikali imekuwa ikigharimiia CKD kidogo sana, sana sana imekuwa ikilipa mishahara tu. CKD kilifikia hapo kilipo kwa kiasi kikubwa kutokana na misaada ya wahisani - Ujerumani, Sweden, Norway, Uholanzi, etc. Wao ndiyo waliofadhili ujenzi karibu wa majengo yote, equipment, training ya staff, etc.
 
WABUSH

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
286
0
Largely, UDSM management is responsible for the deteriorating state. How can UDSM be in such awkward situation? There are so much necessary internal reforms than external.
 
Masanja

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
4,445
2,000
vyuo vyetu ubabaishaji..hata UD ni chuo changu nimesoma lakini walimu hawafanyi research! Wanataka waitwe maprofesa bila kufanya utafiti..sasa huko UDOM ndo itakuwa balaa zaidi...

Tatizo kubwa wengi tunadhani University ni majengo na magari ya kifahari. University ni RESEARCH! na kama UD iki-invest katika research haina haja ya kushindana na mtu..matunda yanaonekana. UDOM ni kelele tuu za siasa..hawana lolote....hebu tuwekane sawa hapa....tuache kushabikia maneno..we need hivi vyuo vifanye utafiti. I repeat..publication records za walimu UD zimeshuka sana tena sana! Hivi UD wana Journals ngapi ambazo ziko internationally cited?? I doubt kama kuna publication za vitabu kama vitano kila mwaka pale UD....I am not sure...

Hivi kweli Kama ile taasisi ya Mkandara ya REDET ndo ilitoa ule utafiti wa juzi..kwamba JK atashinda kwa 71%...jamani mnadhani kweli wana credibility tena? I for one I used to respect Mkandara, but I am sorry to say, I no longer take him serious... Naona ni politician tuu mwenye njaa zake...

Huwezi kuniambia eti chuo hakina pesa wakati VC na maofisa wakubwa mnaendesha magari ya kifahari...why not use the money to buy books? Ok..hamuwezi tembea kwa mguu..basi nunueni magari cheap! Bongo siasa tuu.. hata hao wasomi unaowaona..ni waganga nja tuu..wanachumia matumbo yao... ...

JK...make use of them to get what you want and dump them! wamesoma lakini hawatumii akili zao..
 
Ogah

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
6,235
2,000
Phillemon Mikael:

Point ya kuwa UDSM ni chuo kinachotambuliwa duniani ni finyu sana. Na kama kinatambuliwa duniani basi kingeweza ku-attact wanafunzi kutoka nchi zingine ambao wangeweza kulipa gharama.

UDSM is spoiled. Kuna kipindi walikuwa hawatambui diploma kutoka vyuo vingine. Na kitu kitachosaidia UDSM sio serikali kuongeza matumizi ya chuo hicho, bali kuwa na upinzani kutoka vyuo vingine.

Kutambua vyeti vya diploma inategemea sana level ya syllubus husika ili-cover nini na kw amuda gani..............na ili ujiunge na kozi fulani kuna minimum requirements zake........sio ili mradi inaitwa diploma.............
Hii ina apply kwenye vyuo vingi vya kueleweka.

Diploma ya Imperial College ni "moto"..........pamoja na kutambulika kuwa ni sawa na Bachelor degree.....still watu hujitambilisha kuwa ni holders wa Dip Imperial College...........

Nyumbani enzi zile...........ni waliofaulu tu ndio walikwenda shule za serikali na kujiunga Chuo Kikuu DSM ilikuwa lazima ufaulu A'Level...........average performers (not to disrespect anybody) wengi waliishia Ardhi (ukiondoa Architecture course), Mzumbe, Chuo cha Ushirika nk nk...............kuna watu (average performers) walipitia hizo colleges na wakabadilika kuwa VIPANGA kweli kweli.............LAKINI bado wana aina fulani ya "Ntimanyongo" kwa wale walioingia UDSM na chuo chenyewe...........huu ndio ukweli.

Binafsi sikupata bahati ya kuingia pale UDSM.......lakini ninakiheshimu kile chuo.......nalikuwa najivunia kuwa tuna Chuo maridhawa.....recently kimeanza kuporomoka "quality"...........kwa kweli inasikitisha.......na huu sio wakati wa kukibeza.........ila wanaowajibika nacho inabidi wachukue hatua ili kurudisha hadhi yake............Prof Mukandara unatakiwa ujenge hoja chuo kirudi kwenye hadhi yake

Prof Mukandara

Ni upuuzi kusema eti keki kubwa wanapewa UDOM...............unatakiwa upunguze matumizi ambayo ni un-necessary............hivi ukitumia saloon car (4 cylinders) kile kibao pale Hill kuonyesha kuwa hayo ni makazi yako kitaondolewa?..........au u-VC utakuvuka?....anzisha policy za kubana matumizi by offsetting un-necessary cost kwa mambo muhimu tu..............
 
Deodat

JF-Expert Member
Sep 18, 2008
1,275
1,225
vyuo vyetu ubabaishaji..hata UD ni chuo changu nimesoma lakini walimu hawafanyi research! Wanataka waitwe maprofesa bila kufanya utafiti..sasa huko UDOM ndo itakuwa balaa zaidi...

Tatizo kubwa wengi tunadhani University ni majengo na magari ya kifahari. University ni RESEARCH! na kama UD iki-invest katika research haina haja ya kushindana na mtu..matunda yanaonekana. UDOM ni kelele tuu za siasa..hawana lolote....hebu tuwekane sawa hapa....tuache kushabikia maneno..we need hivi vyuo vifanye utafiti. I repeat..publication records za walimu UD zimeshuka sana tena sana! Hivi UD wana Journals ngapi ambazo ziko internationally cited?? I doubt kama kuna publication za vitabu kama vitano kila mwaka pale UD....I am not sure...

Hivi kweli Kama ile taasisi ya Mkandara ya REDET ndo ilitoa ule utafiti wa juzi..kwamba JK atashinda kwa 71%...jamani mnadhani kweli wana credibility tena? I for one I used to respect Mkandara, but I am sorry to say, I no longer take him serious... Naona ni politician tuu mwenye njaa zake...

Huwezi kuniambia eti chuo hakina pesa wakati VC na maofisa wakubwa mnaendesha magari ya kifahari...why not use the money to buy books? Ok..hamuwezi tembea kwa mguu..basi nunueni magari cheap! Bongo siasa tuu.. hata hao wasomi unaowaona..ni waganga nja tuu..wanachumia matumbo yao... ...

JK...make use of them to get what you want and dump them! wamesoma lakini hawatumii akili zao..

Huyo mukandara mwenyewe na huo "uprofesa wake" ana articles ngapi kwenye international journals? UDSM inakufa kwasababu siasa zinaingizwa hata sehemu zisizostahili, siku hizi hapo hata kupata huo uprofesa lazima siasa zipite kwanza halafu mambo ya publications baadae sasa hapo kutakuwa na chuo kikuu kweli?
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,981
2,000
Nyumbani enzi zile...........ni waliofaulu tu ndio walikwenda shule za serikali na kujiunga Chuo Kikuu DSM ilikuwa lazima ufaulu A'Level...........average performers (not to disrespect anybody) wengi waliishia Ardhi (ukiondoa Architecture course), Mzumbe, Chuo cha Ushirika nk nk...............kuna watu (average performers) walipitia hizo colleges na wakabadilika kuwa VIPANGA kweli kweli.............LAKINI bado wana aina fulani ya "Ntimanyongo" kwa wale walioingia UDSM na chuo chenyewe...........huu ndio ukweli.

Binafsi sikupata bahati ya kuingia pale UDSM.......

Kwa hiyo na wewe ulikuwa "average performer" mwenye "Ntimanyongo" kwa wale walioingia UDSM (and what the hell is that anyway?)
 
Kwame Nkrumah

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
886
225
Huyo mukandara mwenyewe na huo "uprofesa wake" ana articles ngapi kwenye international journals? UDSM inakufa kwasababu siasa zinaingizwa hata sehemu zisizostahili, siku hizi hapo hata kupata huo uprofesa lazima siasa zipite kwanza halafu mambo ya publications baadae sasa hapo kutakuwa na chuo kikuu kweli?

Uliza kingine, lakini jamaa ana machapisho mengi sana, kwenye machapisho ya kimataifa yanayofahamika, go google.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom