Comfucious pedagogy
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 211
- 39
hii wilaya naona viongozi wengi ni makanjanja,tukutane saa tatu tuchukue hela&nauli zetu maana bila pressure wanasinzia sana.
Du poleni sana vihela vyenye vidogo hivyo afu wanawabania ka vipi mlale hapohapo halmashauri hadi kieleweke!
nmepangiwa bunda wilaya yenye kujiita wilaya ya kazi.
Wewe umepangiwa wapi vile?