Huitaji Hata cheti cha form 4 kujua jambo hili, Computer Programming make this easy, Jaribu kupata Picha ATM mashine inavyo kagua kadi yako, na kujiridhisha kama ni feki au halali kasha inaamua...
Habari,
samahani jamani ninatatizo ambalo limenikabili ninaomba msaada wenu, nina mdogo wangu alifanya kidato cha nne mwaka 2005 akapata division 4 ya 33, nilimwambia arudie hakutaka akaenda...
Kutokana na tangazo la wizara kuhusu ualimu naomba mnijuze ni sifa gan ambazo zinatakiwa kujiunga na mafunzo kabilishi ngazi ya chet? na je wengine inabid waombe direct ualimu grade A.?
Jaman wana Jf,mimi ni mwanafunzi mhitimu wa kidato cha nne 2013 Kutoka shule ya sekondary Ilemba(shule ya kata) Bonde la sumbawanga mkoani RUKWA!Nimepata division II-18,Nilifanya uchaguzi wa...
Nafanya wide research napenda kufahamu wahitimu wa vyuo vikuu wanafikia wangapi kwa mwaka? Tanzania wangapi kwa east africa naomba mwenye majibu bado nakusanya data wadau.
Computer Science vs Sociology vs Business Administration.
Course gani kati ya hizo ni more marketable, yenye future nzuri na bila kusahau maslahi mazuri.
Ahsanteni.
Habari zenu wana JF.
Naomba yeyote anayeijua program/software inayotumika kuandaa ratiba ya vipindi vya masomo na mitihani katika vyuo au shule kubwa, anitajie tafadhali. Pia upatikanaji wake...
Zimebaki takribani km cku 15 vijana kidato cha sita nchini kote waanze mitihani yao ya mwisho, ni wao pekee watakaohukumu future yao ktk maisha ya kitaluma.Ungana nao kwa maombi mbele za Mungu wa...
Hi, jamani, naombeni msaada wenu wa mawazo. Nina somesha mtoto wa dada angu, shule ya secondary, mama yake alisha fariki na baba ake katiwa ndani, kafungwa kiufupi. Huyu mtoto sasa amenichanga...
Wakuu heshima mbele.Katika kupita pita kwangu nimekumbana na swali likinitaka nieleze uhusiano wa Histone na mRNA na nieleze kwa nini Histone haina mkia wa Adenylate Polymer kwenye...
Junior students (forms III & IV) and senior students (forms V & VI) from any recognized secondary schools in Tanzania are invited for a contest to test their aptitude in mathematics. The contest...
Hv juz wakati walimu wapatao 150 waligoma kuondoka katika ofisi za halmashauri ya manispaa ya Bukoba KWA kile walichodai kuwa wamechoshwa na dharau PAmoja na dhuluma inayofanywa na wahusika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.