Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari wandugu, Je kwa level gani ya Elimu ya Automobile Engineering (namaanisha Certificate, Diploma au ni lazima iwe Bachelor Degree) mtu anaweza kufanya yafuatayo:- Kufanya Diagnosis...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeona kashfa ya Noelbillions nikaona bora nije na ninachokijua maana serikali ya CCM imekaa kimya toka enzi za Ontario. Ingawa kuna aina mbalimbali za kashfa za utapeli katika uwekezaji. Katika...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kuna mtu anayeijua course ya radiology vizuri, faida zake na hasara, je ni nzuri kwa kusoma.
0 Reactions
19 Replies
17K Views
Habari,wadau wa Jf, Nlikua nauliza je mtoto aliyepata 1 ya 9 ,na ana ufaulu wa A-chemistry,B-physics na B- mathematics ,anaweza kuchaguliwa Shule za vipaji maalumu(special schools) kidato Cha...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
Habari wakuu, Mimi ni mwanafunzi wa Chuo X hapa jijini Dar Es Salaam, nikisomea degree ya Information Technology. Kiukweli Information Technology maarufu kama IT ni Interesting Course, hii...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari za muda huu. Nina kijana mtoto wa ndugu yangu yuko kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya Serikali (Kata), nahitaji kumuhamisha kwenda shule za vipaji maalumu za Serikali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini za mchana wadau wa JF, Jamahaani naomba kujuzwa Kama Kuna chuo chochote cha maendeleo ya jamii kinachotoa certificate online? Mimi nimemaliza chuo cha maendeleo ya jamii mwaka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Na sio hii kitu elimu ya dini, yaaaani serikali inafikia hatua kutilia mkazo tahahusi yza kidini wakati masuala ya umuhimu kama hapo juuu mtuu unakutana nayo secondary taifa tungekuwa...
1 Reactions
1 Replies
415 Views
Kama kichwa cha mada kinavyoeleza,naombeni wanajukwaa mnifahamishe chuo gani kinatoa certificate ya hiyo course na fee structure imekaa je?. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
934 Views
Habari zenu wakuu..natumaini mko poa..ninaomba ushauri kuhusu combination ya science kwa matokeo haya necta form 4. Phy.D, Chem.C, math.C, Bios.C, Geog.C.
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Anonymous
Shule ya sekondari BUJINGA iko Tukuyu mkoa wa Mbeya wazazi tumeambiwa tuanze kuchangia sh. 60000/= kwaajili ya kambi kidato cha nne.. Hii ililetwa kama agenda ktk kikao kilichoitishwa na walimu...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Nisaidieni jamani, Nimetumiwa mzigo kutoka Londoni na kampuni la NAPAREX COURIER COMPANY. Aliyenitumia mzigo amesema amekosa kampuni ya kusafirisha mpaka Tanzania. Hiyo kampuni inaleta mzigo...
2 Reactions
5 Replies
16K Views
Wadau, Kama mlivyosikia Wizara ya Tamisemi imetangaza ongezeko la tahsusi za kidato cha tano na sita katika michepuo mbalimbali ikiwemo sayansi, lugha, michezo, sanaa, biashara na dini. Kwa...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Habarini Wana JF, Kijana wenu naomba mnisaidie connection nipate sehem ya kufany field. Maeneo ya field ni viwandani, migodini, viwanda vya dawa vyuoni as laboratory scientist NB: Nimejaribu...
2 Reactions
8 Replies
856 Views
Wadau kunahii combi mpya ya physics, mathematics na Computer. Hivi hii future yake katika kusoma university or advanced colleagues inawezakuwa ipi? Najiuliza kwenda PCM aun kwenda hii combi kipi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wananzengo, Napenda kujuzwa juu ya majukumu ya Wizara ya Elimu kwenye elimu na Wizara TAMISEMI kwenye elimu. Na, Je hakuna uwezekani majukumu yao kuingiliana?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimemaliza chuo na GPA ya 2.5 nataka kwenda kusoma Masters je naweza, kama haiwezekani inatakiwa nifanyeje wakuu?
0 Reactions
248 Replies
48K Views
Habari wa kuu , Nmeona combination mpya zimeongezwa ili kuwapa uwanja mpana wanafunzi wa advance lakini naona hazija ongeza kitu kwa wanafunzi wa sayansi zaidi ya computer. Kwa maono yangu...
-1 Reactions
2 Replies
997 Views
kwa mfano Mimi niliomba mkopo mwaka jana nikakosa je ninapoomba tena mwaka huu nikaweka barua ya kustaafu ya mzazi ambaye amestaafu mwaka jana je ninaweza pata mkopo? ( Ngazi ya shahada )
1 Reactions
2 Replies
717 Views
Habari wa kuu , Nmeona combination mpya zimeongezwa ili kuwapa uwanja mpana wanafunzi wa advance lakini naona hazija ongeza kitu kwa wanafunzi wa sayansi zaidi ya computer.kwa maono yangu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom