Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Mimi ni kijana wa kiume miaka 27 'nilimaliza Form 4 2013 nikapata division 3 lakini nikakosa nafasi form 5 Since day one ndoto yangu ilikuwa ni kuwa DAKTARI +Business man 2014 nikachomoka Moshi...
16 Reactions
152 Replies
10K Views
Habari wakuu!! Hadi Sasa nimejaribu Sana kuapply NACTE lakini nimeshindwa, Naomba msaada kwa yeyote anaweza kunisaidia au amefanikiwa kumaliza kuapply NACTE!! Mpaka Sasa nimejisajili na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Binti ana Four ya 28 (arts pure) sasa anataka kujua anachoweza kusomea >>>Ameambiwa aingie humu achague kozi zinazoendana na ufaulu wake>>> NIT DIT NACTE
2 Reactions
9 Replies
676 Views
Anonymous
Kumekuwepo na malalamiko mengi juu ya utitiri wa adhabu za viboko shuleni. Watoto wanaogopa kwenda shuleni kisa adhabu za viboko ni kali na pia namna ya utoaji wa adhabu hiyo umepelekea wanafunzi...
2 Reactions
6 Replies
791 Views
Ukisoma fani ya 'Marketing', moja kwa moja wewe unakuwa umejiondoa kwenye kazi za kukaa ofisini na kupulizwa na kiyoyozi; kazi zako wewe ni za kwenda 'field' kwenye kutafuta wateja kwa kutuma...
4 Reactions
15 Replies
654 Views
Chuo Kikuu cha Iringa kina ubabaishaji, hawajali afya za Wateja wao (Wanafunzi) haiwezekani mwanafunzi kafanya usajili kuanzia Novemba mpaka Desemba, lakini bima yake haijawa activated. Mnufaika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kila nikimkumbuka mwalimu wangu wa Hisabati Mwalimu Msiagi alivyokuwa akitujengea confidence katika somo la Hisabati zikiwemo test za asubuhi pamoja na kuielewa table na kuiweka kichwani hakika...
5 Reactions
53 Replies
3K Views
Wealth creation is not a matter of luck it is the result of applying an appropriate strategy. Although myself I am not Wealth, but I would like to get there. Here are seven wealth building secrets...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Call it a clan, call it a network, call it a tribe, call it a family. Whatever you call it, whoever you are, you need one." - Jane Howard Many Tanzanians works for so many years before they...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
We as human beings are always dreaming what we want to make true. But for some of us no matter how much you try it seems that you do not reach your goals. What is happening? Why are you having so...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Hello wanachama wenzangu habari za leo, Kijana wangu anapenda kusomea Aircraft Eng au U pilot, kwa sasa sina hakika na suala la ajira kwa hapa nyumbani na kuna mtu ameniambia hata nje ya nchi...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wakuu, naomba mwenye kampuni yeyote ya clearing and forwarding au anayeweza kunipa connection ya wanafunzi zaidi ya 10 kupata field ndani ya dar es salaam ani PM. Weka bei...
1 Reactions
1 Replies
767 Views
Na kama ipo tuna apply vipi tofauti na wale wanaochaguliwa direct kutoka form 4
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hili suala la cut point za kuingia chuo kikuu zilipandishwa na waziri wa Elimu kipindi hicho (Ndalichako) kiliwaumiza wengi wengi sana hasa watumishi wa umma wenye kutaka kujiendeleza kielimu...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Download scheme of work (edit) na tumie. kumbuka kuedit ipasavyo. punguza uvivu. NARUDIA TENA! Edit Lesson plans nazo zipo za masomo yote, lkn edit! please edit zikufae! NI BURE KABISA! ingia...
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Habari, Naomba kwa yeyote anaejua kampuni au sehem nyingine ambapo wanapokea wanafunzi wa field kwa kozi ya degree of marketing and public relations mkoa wa Mbeya.
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Kwa wewe mwalimu wa shule ya msingi mwenye uhitaji wa andalio la somo shule ya msingi kwa mwaka mzima mada zote, zipo tayari na unaweza kuzipata popote ulipo Tanzania. Uaminifu kipao mbele na...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Naomba anayeweza kunisaidia jibu. Hebu angalia swali la kwanza a(I)
2 Reactions
47 Replies
2K Views
Anonymous
Baadhi ya shule za sekondari wilaya Mbinga zimeanzisha hostel bubu ambazo hazifai kwa matumizi ya wanafunzi hususan wa kike hasa madarasa ya mitihani na hata zile shule zenye hostel za wasichana...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Salaam wakuu. Naombeni ushauri ni ufundi gani upo vizuri kwenye Kipato kati ya kuwa fundi wa kutengeneza magari upande wa umeme wa magari na uchomeleaji(welding)?.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom