Wakuu msada please kwa yeyote anaefahamu sehemu ambapo naweza pata field ya Mech engineering naomba anisaidie.Sehemu ambapo ningependa nifanyie field kama itapatikana ni dar.
Asanteni.
Nimewasikia watekelezaji wa mtaala (walimu) na wanafunzi kupitia wazazi wanasema mada zinazofundishwa darasa la tatu zinawadi umri mfano
Kwenye somo la hisabati,jometri iliyokuwa inafundishwa...
Nawasalimu.
Naomba kwa wazoefu wanifahamishe Bei ya kumfundisha mtoto tuition akifatwa nyumbani kwao.wa darasa la tano na darasa la kwanza.
Msàada jamani.
Naomba nijibiwe maswali yangu kuhusu huu mtaala mpya wa elimu.
Jedwali na.4: Somo, umahiri mkuu na umahiri mahususi kwa darasa la iii hadi la vi.
Kipengele na:
8. Elimu ya Dini Itatolewa na...
Naomba wadau wa Jamiiforums waweze kufatilia uovu unaofanywa na mwalimu mmoja katika shule ya secondary Kanoge ambayo ipo wilaya ya Nsimbo mkoani Katavi kwani katika shule hiyo kuna mwalimu wa...
Habari!
Ni muda sasa nimekuwa nikitafakari kwenda VETA kwaajili ya kusomea fani moja wapo miongoni mwa fani zifuatazo;-
i)Umeme wa magari
ii)Umeme wa majumbani
iii)Udereva
Nimekuja kwenu...
Kuna kijana hapa alisoma BSc In mechanical Engineering, mwaka wa 3 semister ya 2 akaugua sana akashindwa kuendelea akaomba kuahirisha, mwaka uliofuata akaahirisha tena akae sawa kabisa.
Alipotaka...
Ninafikiria mwanangu akimaliza darasa la saba nimsomeshe QT miaka 2 na form 4 mwaka mmoja kisha form 5&6 mwaka 1.
Kikubwa ni kujitoa muhanga kumsimamia kwa ukaribu wa hali ya juu ili afanikiwe.
Rejea kichwa habari hapo juu.
Tukiwa tunasubiria Sekeseke la 'kupiga pepa' tufaulu ndio tuajiriwe hebu tupeane dondoo za hapa na pale.
Pepa' itakuaje na labda itakuwa ni content based kwendana...
Nilipokuwa A-level, nilifanikiwa kusoma katika shule mbili tofauti za Bweni.
Vifuatavyo ni visa navyokumbuka
i) Kama mjuavyo, utumiaji wa simu katika shule za Bweni ni mshikemshike. Sasa mie...
Chama pekee kinacholazimisha wanachama na wao bila kupenda kukatwa michango yao ni cwt. Chama.cha walimu Tanzania.
Unaweza ukakipa nafasi ya kidunia katika vyama ambavyo 95% wanachama leo...
Mimi kama mdau wa jamii forum nimeona hoja na kero nyingi zikipatiwa ufumbuzi mbali mbali hivyo naomba kuwasilisha hoja yangu ya msingi hapa!
Ni kuhusu wizara ya elimu hapa nchini ninaomba...
Tanzania inakwenda kuingia kwenye medani za kisayansi kwa lile 'jaribio lake la nchi nzima la kujiachia badala ya kujifungia kipindi cha korona'. A nationwide display of herd immunity at its best...
Hapa kuna mazoea na vidokezo 20 vya kujisomea vinavyoweza kukusaidia kuzingatia masomo yako:
1. Unda ratiba ya kusomea na jishikilie nayo.
2. Tafuta eneo tulivu lisilo na vikwazo vya kusumbua.
3...
Jamani naombeni munisaidie ushauri mwanangu amemaliza form four na amepata division two ya kumi Na nane masomo ya science.
Je, nimpeleke chuo Moja kwa moja au aendele na form five.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.