Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nadhani wengi wetu tunatambua uwepo wa kozi nyingi za online ambazo zinakuwa zinatolewa bure. Km una muda na bundle ya kuperuzi kozi huwa ni fupi. Kwa mfano sasa hivi ninaenjoy creative coding na...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Habari zenu wakuu! Kwa ambao wanasoma UDOM Wwamesema kwenye web kuwa supp ni kwa mwaka wa kwanza pekee yao, sisi mwaka wa pili tunafanya lini na inahusisha ngazi ya certificate adi masters...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Salaam wajumbe wa jukwaa hili. Nafasi za masomo zinazotangazwa na Wizara ya Elimu mbona magumashi...Wanatoa tangazo mathalani leo na mwisho wa kuwasilisha maombi yako ni siku nne baadae. Je, hii...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Kwa mfano mwaka juzi ( 2013 ) nilianza kufanya master's degree yangu ya miaka miwili ambapo nimeweza kusoma karibu masomo yote stahili japo yawezekana nikawa nina vimeo ( sups ) kama za masomo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada mm nmechagua certificate ya clinical medicine ingawaje nna vgezo vya diploma., je endapo nitachaguliwa naweza kibadili ktoka certificate kwenda diploma!!!!!????? nina B...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nacte wameongeza muda wa maombi kwa waombaji wa ualimu udom...na vyuo vinginee! kama una ndugu mwambiee afanye wepesi kuomba mwisho tarehe 16 august
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Application za vyuo kwa mfumo wa kieletroniki kupitia CAS imekumbwa na changamoto nyingi zitakazosababisha wanafunzi wengi kushindwa kuingia vyuoni. Moja ya changamoto hizo ni pamoja na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Walimu wanaostahili kupanda madaraja mwaka huu wale walioajiriwa na walopanda madaraja 2011 bado hawajapandishwa madaraja . kunataarifa kuwa mpaka sasa kikao cha kupandisha madaraja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mpango umekaeje kwa walimu wanaotakiwa kupanda madaraja mwaka huu?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Katika mkoa wa Simiyu kuna ziara ya maafisa elimu katika shule za sekondari, moja ya kauli wanazotoa juu ya walimu ni kwamba 1. Wana wasiwasi na elimu za vyuo vikuu vinavotoa bachela ya elimu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1.0UTANGULIZI Mtihani wa Taifa wa Elimu ya Sekondari Kidato cha Pili ulifanyika nchini kote kuanzia tarehe 05/11/2012 na kumalizika tarehe 16/11/2012. Mwaka 2012 kulikuwa na jumla ya vituo...
0 Reactions
125 Replies
47K Views
Aliyesoma vyuo kama DIT, MUST e.t.c anaweza sajiliwa bodi ya wahandisi "ERB" kama consulting engineer? Kwa mfano alyesoma Civil Engineering kufanya designing ya majengo na kadhalika.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wana JF Kwa heshima kubwa naomba kufahamishwa kama kuna muelewa anifahamishe kama kuna driving school kati ya Kimara Korogwe mpaka Temboni na ada zao tafadhali. Nashukuru sana.
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Samahani, Kama kuna yeyote aliyesoma Mbezi Beach high school na mwenye namba za mwalimu yeyote aliyewahi au aliyepo hapo anisaidie. Nina shida ya mhimu niko nje ya nchi siwezi kuzipata izo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari zenu wadau, naombeni ushauri katika ili, kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijilaumu kwa kusoma fani ambayo siyo 'passion', Ualimu. Hivi sasa nipo mwaka wa pili naingia wa tatu. Sasa nafikiria...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
HZU EDUCÀTION Kwa maelezo zaidi:- Namba ya simu 0659118405 lakini SMS tu Whatsapp mamba 0655081946 Email: www.mwalimuzubery@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Naomba mnaofahamu mnipe ufafanunuzi, nitapata faida gani ikiwa nitasoma huko ukilinganisha na hapa kwetu?
0 Reactions
38 Replies
51K Views
Za sahizi wakuu naomba kujua kozi fupi zinazo tolewa na chuo cha NIT. Kama zipo nisifa zipi wanazo chukuwa.
0 Reactions
5 Replies
6K Views
habari,wakuu mwaka huu kuna awamu ya pili selection?
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Waungwana hii wilaya ipo TABORA just km 25 kutoka town njia ya Nzega, yaani kiutendaji Mungu ndo anajua halafu maafisa yaani baada ya mungu wanafuata wao, hasa idara ya elimu. Walimu wanafanya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom