Mpaka sasa hivi jamani hamjatupatia pesa yetu... hivi mnataka tuishije huku kwa mfano? mbaya zaidi TAHLISO hamtoi tamko lolote jamani... Congratulations kwa viongozi wangu wa chuo hope...
Wadau mi niko Dar.
Nina mpango wa kusoma sheria ila nianze na certificate au Diploma kwa evening class au distance learning ili nisikwamishe shughuli zangu nyingine.
Naomba ushauri ni chuo...
Naomba msaada please: Kijana wangu amepata physics B, chemistry B na biology B+. Anataka kujaza medicine Muhimbili, CUHAS and UDM. Udom inakataa kuwa points hazitoshi. System inasema ana point 4...
habarini wakuu, jamani sijui kama ndo kinavyoitwa au la. ila ningependa kufahamishwa kwa anaejua mahali chuo kinachofundisha fani hii. labda anisaidie kwa kuniambia kipo wapi kwa hapa Dar es...
Kwa sababu zao binafsi, kuna watu ambao wangependa kuajiriwa maisha yao yote. Au wangependa kuajiriwa kwa kipindi fulani kwenye maisha yao. Au kama ni mhitimu basi ungependa kuajiriwa kama...
Wadau mi niko Dar.
Nina mpango wa kusoma sheria ila nianze na certificate au Diploma kwa evening class au distance learning ili nisikwamishe shughuli zangu nyingine.
Naomba ushauri ni chuo gani...
Tanzanian universities, including the country's top and respected higher learning institution, the University of Dar es Salaam, are missing in the list of Africa's top universities in the...
Habari wakuu wa jukwaa la elimu.Mimi ni mhitimu wa Bachelor of Science in Accounting and Finance.Nimemaliza mwezi uliopita,natarajia kufanya CPA May mwakani.Naomba ushauri wa short course ambayo...
Salaam wote
Hiki chuo kinaonekana ni kikongwe sana, nauliza kama elimu inayotolewa hapa (certificates, diploma, degree, Masters,PHDs) inatambuliwa na Tanzania Commision for Universities (TCU)? Kwa...
Asiyeuliza hana ajifunzalo. Wakuu kama ujuavyo vijana wa vyuo mbalimbali tuko field nikiwa mmoja wao toka UDSM...nisiwachoshe sana wadau kwa mwenye uelewa wa kinachohitajika wakati wa kufanyiwa...
Jamani eehhh nimechaguliwa hiyo koz apo juu,naomben mchango wenu wakuu kwa anaeifaham jeeehh ajira apa TZ zinapatikana kwa xana? na zinafanyikia xehem gan tofauti na viwandani
Wadau Niko namfanyia application dogo TCU ye yuko jkt ila nikifikia hatua ya kuingiza namba ya advance naambiwa haipo kwny database na dogo anadai ana uhakika kuwa hiyo ni namba sahihi,kuna mwenye...
Kumekuwa na maombi sehemu mbalimbali watu wakihitaji kusaidiwa katika uandish wa barua za kikazi,
mf; barua za kuomba kazi.
Waalimu na yeyote ajuaye hebu tusaidiane kwa hili!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.