Wanajukwaa kwa mtu mwenye uwezo wa kusolve maswali ya income yaxation naomba uweze kunisaidia kusolve haya maswali ya taxatio ambayo yapo kwenye attachment hapa chini, natanguliza shukrani kwa mtu...
Mimi ni mwalimu wa sekondari kuna darasa nimekabiziwa wako nyuma topic nyingi hawajasoma nitumia njia gani nitumia nipigea hatua nafundisha Geography form three wako topic ya pili kwenye physical...
Waalimu waliosoma Arts wanaonekana wana Bahati mbaya they are real against the Odds Serikali Kupitia TAMISEMI imesema Katika ajira za Waalimu idadi itajumuisha Wahudumu wa maabara ( Laboratory...
Nina idea ya kufanya kazi na walimu watakaokuwa seriously comitted. Mimi peke yangu siwezi, so nahitaji walimu hasa wa sekondari..
Tutakaa, tutajadili na kwa pamoja tutaona namna nzuri ya...
Wakuu mm nimemwomb mtu anisaidie kuaply kutokana na shida ya network huk kijijin simiyu lkn kwa bahat mbay kuna course alinijazie sizitaki sasa natak nifanye changes na aliniprintia fomu tayar je...
Jamani, hivi mwaka huu mbona sielewi muda gani wanafunzi wanaoanza mwaka wa kwanza wanaingia mwezi gani? Au majina yanatoka lini?
Kwa anaejua, please nijuze.
Ndugu wadau naomba ushauri wenu tafadhali.
Kijana wangu amepata nafasi ya kwenda kujiunga kidato cha tano katika shule ya umbwe secondary na masomo ya ECA. Lakini nilikuwa nimemwanzisha kusoma...
University of Dar es Salaam (Tanzania)
A quick look shows that South African universities dominate the top. The five best universities in the continent are all from South Africa. Second to South...
https://www.academia.edu/ Sharing means caring and development, chukua sekunde chache kujisajili huu mtandao wa wanachuo kutoka Tanzania na vyuo mbali mbali duniani na ushare material zako ziwe...
MWANAFUNZI wa mwaka wa pili wa chuo kikuu cha St. Joseph tawi la songea Mkoani Ruvuma Emmanuel Peter Lunguya (25) amekutwa chumbani kwake amekufa naada ya kujinyonga kwa kutumia kamba za viatu...
Tume ya vyuo vikuu Tanzania imesema kuwa kuna baadhi ya wanafunzi ambao wametuma barua ya kuruhusiwa kuomba vyuo mwaka huu lakini taarifa zao zimekuwa ni za uongo.
Hivyo basi wametakiwa kutuma...
Habari zenu kaka zangu, naombeni msaada wenu, mimi katika fomu yangu ya mkopo niliyoituma HESLB nilisahau kusaini nimebaini hilo baada ya kuikagua copy niliyobaki nayo. Hapa sina amani kabisa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.