Mawasiliano ya Mbezi Beach High

Mawasiliano ya Mbezi Beach High

SODOKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,654
Reaction score
724
Samahani,

Kama kuna yeyote aliyesoma Mbezi Beach high school na mwenye namba za mwalimu yeyote aliyewahi au aliyepo hapo anisaidie.

Nina shida ya mhimu niko nje ya nchi siwezi kuzipata izo namba and nina shida mhimu sana very Urgent msaada jamani.

Nimezigoogle namba za shule lakn sijafanikiwa kupata namba huska ingawa nimepata namba ambazo nimezipga bila mafanikio yoyote.

Ahsanteni!
 
Back
Top Bottom