Msaada: Faida za kusoma masters Ulaya/USA

Msaada: Faida za kusoma masters Ulaya/USA

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,145
Naomba mnaofahamu mnipe ufafanunuzi, nitapata faida gani ikiwa nitasoma huko ukilinganisha na hapa kwetu?
 
Jamani nyie hapo chini hebu msimjibu mwenzenu kimzaha.
 
Hahahahaaaaaa......Bora umeliona hilo......lakin nadhan majibu yataendelea kua hayahaya......
mi nafikiri kama hawajui wangenyamaza tu wasubirie wanaojua waseme. Wanajiaibisha. Lol!
 
Jamani nyie hapo chini hebu msimjibu mwenzenu kimzaha.
Sikutegemea kupata majibu ya mzaha kiasi hiki, hawa nao wanajiita Great thinker? Hivi kuficha upumbavu ni kazi ngumu sana?
 
Sijaona upumbavu, unless kuwezi kusoma btn lines, nimeona vitu 3 lemme spell for u!1; exposure2: opportunity ya kumake vijicent3: kuimarisha fluency ya lugha ya kigeniOtherwise or in other words kwa michango hii hakuna faida kubwa ndio maana wamesema hivyo.Swali lako mwenyewe halivutii kichangia, bora ungesema worries na interest zako! Nini unataka kusoma etc.
 
Kidogo umejitahidi kuja kwenye mada! Ila habari kuvutia au kutovutia kwa swali ni mtazamo wako. Mi nimeulizwa kwa ujumla wake, lengo ni kujua kipi kipo na kipi kinakosekana katika elimu yetu, ambavyo vinaweza kupatikana huko. Sasa mtu anapokuja na habari ya kuwaona wazungu live, bado tuamini ana akili timamu?
 
Mh! Great thinkers siku hizi wamekuwa hatari. kwa hao watu maisha ni magumu, kwa sisi tuliozoea kuzungusha maisha yetu ki rahisi uanweza ukafika kule usisome. Ila kama ni kusomeshwa bora uende huko.
 
nimecheka sana hzo coments hapo juu ila ni ukwel halis japo wameongea kimasihara zaid.. faida ni kwamba kwa masterz na phd unapata scholarship kirahis hapa kwe2 bongo ni ngumu sana labda ujilipie.
 
Back
Top Bottom