habari,wakuu mwaka huu kuna awamu ya pili selection?
msaada kwa ajuae![/QUOT.
SIDHAN KAKA LAKIN NGOJA TUSUBIRI SI UNAIJUA SERIKALI YETU
nimeskia kua zitakuepo ila baada ya siku kumi na nne baada ya hawa first selection kuripoti skul
msaada kwa ajuae![/QUOT.
SIDHAN KAKA LAKIN NGOJA TUSUBIRI SI UNAIJUA SERIKALI YETU
kweli mkuu
selectioni za mala ya pili zipo ila ni kwambie tu ukweli ni mbaka mwezi wa nane.

Kiswahili cha wasomi wa jukwaa la elimu kinanifurahisha sana. Bora hata wajasiliamali kwenye jukwaa lao la wafuga kuku, mbuzi, nguruwe na kulima nyanya na vitunguu..
selectioni za mala ya pili zipo ila ni kwambie tu ukweli ni mbaka mwezi wa nane.
Eti naskia sie tulokosa shule tunapangiwa vyuo vya ualimu,na kilimo
sidhani kama itakuwepo maana waliokosa form 5 tayari wameshachaguliwa udom