Ninavyoelewa ni hivi: kwa mujibu wa nacte(CAS)
Available application categories;
1)admission in community health programs (deadline 18/9/2015)
2)Admission into teachers education programs (deadline 16/8/2015)
3)Admission into Bachelor degree programs(deadline 31/8/2015
4)Admission into other categories programs(community, business, development, Engeneering etc)..(deadline 31/8/2015
5)Admission into Health & Allied sciences programs (deadline 2/8/2015.
hapo nadhani kila kitu kinajieleza.application za Afya zimeshafungwa na wapo kwenye processing matokeo halaf soon yatadondoshwa kama mwishoni hivi mwa mwezi huu.