Sio huyo tu bali ata MUSOMA MJINI,ILEMELA MWANZA nk hizi ni baadhi tu watumishi hawajapata baruaza madaraja na wala kulipwa madai yao tokea 2011...CWT yani ata strategy ndogo tu ya kuita waandishi wa habari na kuishinikiza serikali HAMUWEZI
Sio huyo tu bali ata MUSOMA MJINI,ILEMELA MWANZA nk hizi ni baadhi tu watumishi hawajapata baruaza madaraja na wala kulipwa madai yao tokea 2011...CWT yani ata strategy ndogo tu ya kuita waandishi wa habari na kuishinikiza serikali HAMUWEZI
Walimu waendelee tu kuishi kwa matumaini.Hili tatizo ni msiba kwa halmashauri nyingi kama si zote na linawahusu Walimu wote walioajiriwa mwaka 2008 na wale wa 2011 ambao walitakiwa wapande madaraja tangu mwaka wa jana (2014 mwezi december) lakini hadi leo wanazungushwa ilhali hicho kinachoitwa chama cha walimu(cwt) ambacho ni uvundo mtupu!! kipo bize kulipana posho wanazowakata walimu tena bila idhini yao kila mwisho wa mwezi! Walimu watanzania wataendelea kuwa wanyonge kwa sababu hawana umoja huku wachache wakijitambua na wengi wakiwa ni waoga wa kutupwa! Kufundisha kwa bidii na kujishughulisha na ujasiriamali,kilimo na ufugaji wa kisasa ni njia pekee ya kumkomboa mwalimu kwenye utegemezi wa mshahara na malalamiko ya kutopandishwa madaraja kwa wakati! Amka mwalimu! muda wa mabadiliko ni sasa! usikubali watoto wako waje kulilaani kaburi lako baada ya kuwaacha ktk umaskini wa kutupwa huku ukiamini eti kazi ya ualimu ni wito! hivyo kutwa nzima upo tu shule! Haki ya nani utakufa maskini kweli! walimu wengi hasa wa mjini kwa sasa ni mwendo wa kufundisha wakimaliza vipindi hupotea kupiga mishe nyingine. Jitahidi mwalimu uvute mkopo benki inayotambulika anzisha shughuli itakayo kukwamua kiuchumi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.