NACTE tuongezeni muda tafadhali

NACTE tuongezeni muda tafadhali

WABALLA Inc

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
2,711
Reaction score
1,018
Application za vyuo kwa mfumo wa kieletroniki kupitia CAS imekumbwa na changamoto nyingi zitakazosababisha wanafunzi wengi kushindwa kuingia vyuoni. Moja ya changamoto hizo ni pamoja na kucheleweshwa kwa confirmation code baada ya malipo.
Mie ni miongoni mwa wahanga wa changamoto hiyo.
MAOMBI KWA NACTE: TAFADHARI tunaomba mtuongezee muda japo kwa wiki moja!
NATANGULIZA SHUKRANI!!
 
Polen Sana Kwa mliochelewa Kufanya application, by then vyuo vingi wamechelewa kupeleka matokeo Nacte, hata hivyo kulikua na mabadiliko Sana ktk application hasa Kwa walio maliza mwaka huu maana ilikua hakuna kuapload vyet wala transcript
 
Asanteni NACTE kwa kuongeza muda.

Available Application Categories:-

1. Admission into Community Health Programme (Basic Technician Certificate (NTA Level 4))-Deadline 18/09/20152. Admission into Health and Allied Sciences Programmes (Technician Certificate,Ordinary Diploma or Advanced Diploma)-Deadline 02/08/20153. Admission into Teachers Education Programmes (Ordinary Diploma (NTA Level 6) or Higher Diploma (NTA Level 7))Deadline 16/08/20154. Admission into Bachelor Degree Programmes-Deadline 31/08/20155. Admission into Other Category Programmes (Business,Community Development, Engineering etc)-Deadline 31/08/2015

Mwambie na mwenzio
 
Nacte wameongeza muda mpaka tarehe 31 aug kwahiyo unaweza kuapply taratibu tu
 
Back
Top Bottom