Wakuu,
Kama mjuavyo elimu ni kitu muhimu sana katika maisha ya nwanadamu. Kwa wasio na elimu wakiona mtu mwenye elimu huwa wanamtamani sana.
Kwamba wanatamani na wao wangekuwa na elimu kama...
Nimerudi tena kaka zangu, great thinkers.
Nimekiona chuo cha imtu kipindi nafanya application.
Naomba kuuliza hivi kimeshafunguliwa au bado.?
Kwa maana naona watu wamekiomba!!
kuna ukweli wowote apa....
kwamba lazima uwe umesoma advanced physics kwa kila kozi ya afya , kama nursing, medical lab, na nyingnezo ukiachana na md na pharmacy...!!!?
Jamani!
Juzi kati nimelipia ada ya kudailiwa ya Shilingi elfu 50 kupitia tigo pesa na nikatumiwa Voucher Number ya kuiingiza kwenye CAS na kuendelea na mchakato wa Usajili. Sitaweka screen shot...
Wakuu kma title inavyojieleza,nimetuma maombi nacte kuomba nafasi ya diploma in clinical officer,kuna ninaowackia kuwa kuna ukomo ktk miaka kufanya maombi ila mm sikuona tangazo hilo kwnye website...
Pia nafundisha masomo ya ziada (twisheni) kwa masomo ya Chemistry & Biology A-level na O-Level.
Napatikana Morogoro mjini maeneo ya Nanenane.
Kwa maelezo zaidi piga namba 0719605111
Kwa wale waliokosea kufanya malipo kwaajili ya kuapply vyuo, ambapo wamelipia "TCU" badala ya kulipia "NACTE" tuwasiliane if possible tubadilshane voucher. Ingekua poa kama ni mtu anaye ishi Dar...
Naitwa BENJAMINI MPOKI nilimemaliza BAED katika chuo ambacho ni tawi la sauti kilichopo mtwara kiitwacho STELLA MARIS MTWARA UNIVERSITY COLLEGE kwa sasa nipo nyumbani mbeya namba yangu ni 0766971149
Nimekuwa nikitoa ushauri sana lakin sikuweka wazi kwamba uwa natoa ushauri, Mimi nimebobea kwenye kutoa ushauri wa maisha kwa mfano kuna wanafunzi wengi najua uwa wanapoingia shule au chuo wakati...
Habari za majukumu wakuu.
Kama uliomba hio kitu hapo juu kaa mkao wa kuitwa. MIE nimeitwa leo via SMS.
Mkuu MB funguka basi!
Mkuu mimi pia nilkua safarini kesho ndio natarajia kufika huko...
Wanafunzi wengi wanao maliza kidato cha nne wanafikiri kuwa kwenda college ni bomba zaidi ya kusoma advance(forn 5 & 6).Je wanaJF kipi bora kati ya advance na college.???
advantages &...
Habari za saa ndugu naomba mwenye kujua link zinazo publish journal paper anifahamishe pia gharama na sheria zao wanazo zitumia mpaka waweze publish paper yako.
Maana nataka kuandika paper katika...
Ufanyaji wa mitihani kwa kutumia smartphone sasa ndio imekuwa fasheni ambapo hata wale wanafunzi wachache ambao walikuwa hawaamini katika cheating za mitihani sasa wamekata tamaa katika kutumia...
Natumaini wote humu ndani hamjambo napenda kuchukua nafasi hiii kuelimisha umma hasa kwa wale wanaopenda kuomba nafasi ya masomo katika chuo kikuu cha dodoma hasa katika college ya biashara na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.