Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Samahani nimejaribu kuuliza sehemu tofaut nimekosa jibu nimeamu kuja kwa great thinker JE LAIN YA KAWAIDA YA AIRTEL YAWEZA KUITUMIA PESA LAIN YA WAKALA. AU JE LAIN YA WAKALA YA AIRTEL MONEY...
0 Reactions
1 Replies
871 Views
Mwenye namba za mawasiliano TCU na HESLB, NISAIDIE PLEASE, kumbuka kuniandikia kama za tcu au HESLB
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama kuna shule au tution anahitajika mwalimu wa masomo hayo tuwasiliane ili nije kupiga kazi. 0765 564390 Ahsanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawakaribisha sana first year wote mliochaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha Dodoma.. LIFE is not so tight at udom kilicopo ni kuaddapt mazingira fasta na ukubali kuyaishi. kwa wale wenzangu na mm...
0 Reactions
1 Replies
845 Views
Nawakaribisha sana first year wote mliochaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha Dodoma.. LIFE is not so tight at udom kilichopo ni kuadapt mazingira fasta na ukubali kuyaishi. kwa wale wenzangu na mm...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Habari zenu wakuu katika pita pita zangu mtaani nilikutana na vijana wanaongelea umuhimu wa crude oil. Basi nkarefer kidogo chemistry yangu nakuona faida zipatikanazo kwa hii kitu kwani ikifanyiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chuo cha Udom Na Udoso mnafanya mambo kama si wasomi hivi inakuwaje MTU yupo off campasi halafu mnasema lazima alipe hela ya hosteli Na ya Bima wakati constitution ya chuo inasema wazi kama MTU...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
kuna first year yeyote aliyefanikiwa kupata joining ya sua either kwa email au la
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wakuu hili suala litaigharimu taifa muda si mrefu,sera ya mikopo kwa wanafunzi elimu ya juu ni majanga,hebu fikiri chuo cha serikali na bodi ya mikopo ni ya serikali huu mchezo unachezwa kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba kuhuliza kwa sisi tunaofanya Transfer kutoka vyuo vya serekali kwenda Private je mikopo tuliyopata itaongezeka kulingana na gharama za Private
0 Reactions
4 Replies
1K Views
mm ni msichana wa miaka 19 nimemaliza form 6 mwaka huu nilisoma shule ya washichana Marian girls mchepuo wa PCM nikafanikiwa kuondoka na div 2.Tatizo linalo nikumba saiz nimechaguliwa chuo cha...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Wakuu, mimi nilichaguliwa chuo cha MUCE lakini cha kushangaza nimepewa 25,000/= na sisi ni maskini wa kutupwa, nifanyeje, (Usinitus Tafadhari)
1 Reactions
107 Replies
11K Views
naomba wadau mnisaidi namna ya kukataa rufaa heslb.pia mtu anatakiwa awe na sifa zipi ili aweze kupewa mkopo.kati waliokosea sikuwemo,lakini pia 1st &2nd lot simo japo chuo nilipata( BAED),kwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wana procure wenzangu wanafunzi na walio ajiriwa naombeni msaada wa majibu ya maswali yafuatayo 1.explain how APP is approved 2.identify contents of APP 3.documents used in public procurement...
0 Reactions
2 Replies
983 Views
Kwayeyote anayejua kama bado kuna muda na nafasi ya kuomba open anisaidie
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani naomba msaada kwa mwanafunzi yoyote wa out anayesoma bachelor of business administration mwenye materials ya business mathematics and statistics anisaidie, either aniuzie au anizime nitoe...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu nchi yetu ina vituko ambavyo si rahisi kuviona kokote ulimwenguni. Rais wetu ameanza kazi kwa kutembelea maeneo yenye uzembe, aliye karibu nae amwambie atembelee tu website ya wizara...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
pata hgsjvchufumbuzi wa tatizo la mikopo kwa wahitnmagbznbvimvvvvu wa chuo kikuu bbv bjkjebhhajakkjspecial Non priority kutokana na lawe bila kujari course walizochagua Hhbbhhgzhaffgu Hivyo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Binafsi niliomba chuo na kupangiwa DIT kusomea Bachelor of Engineering in Civil and Building engineering, ila binafsi napenda kusomea Bachelor of engineering inTelecommunication Engineering...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MASWALI KWA HESLB Wanasema kuna waombaji wawe watulivu huku hawaelez uo utulivu uwe mioyoni mwa wanafunz kwa siku ngapi watueleze ayo majina 9,253/= yanatoka lini? na watueleze ao wanafunzi...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Back
Top Bottom