Karibuni coes.. No bata, kazi tu.

Karibuni coes.. No bata, kazi tu.

baraka said

Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
85
Reaction score
31
Nawakaribisha sana first year wote mliochaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha Dodoma..
LIFE is not so tight at udom kilichopo ni kuadapt mazingira fasta na ukubali kuyaishi.
kwa wale wenzangu na mm mlioetwa COES msiuze calculator zenu kwani huku msuli ni kama kawa....

Your welcome at the college of engineers japokuwa bado hatuna makazi maalum.
much lov to all
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom