Sensa ya waliopata mikopo kutoka bodi ya mikopo

Sensa ya waliopata mikopo kutoka bodi ya mikopo

man of the year

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
464
Reaction score
319
pata hgsjvchufumbuzi wa tatizo la mikopo kwa wahitnmagbznbvimvvvvu wa chuo kikuu bbv bjkjebhhajakkjspecial Non priority kutokana na lawe bila kujari course walizochagua
Hhbbhhgzhaffgu
Hivyo cfhajjhgjtrttaani anitajie course yake na asilimvvvvvia ya mkopvbvvvo aliopata
Asanteni

Nawasilisha
 
Saizi
Especial
Kujari

Ufafanuzi wa maneno hayo hapo juu

BTT...Ukishajua kadhaa ndio wamepata hiyo itasaidiaje hao ambao hawajapata?
 
Habari za saizi wakuu

Napenda kujitokeza mbele zenu kupata ufumbuzi wa tatizo la mikopo kwa wahitimu wa chuo kikuu especial Non priority kutokana na lawama zilizoenea mitandaoni wakati serikali ikijivunia kutoa mikopo kwa vijana wote bila kujari course walizochagua

Hivyo basi ningependa kila mtu hapa jukwaani anitajie course yake na asilimia ya mkopo aliopata
Asanteni

Nawasilisha

mtu mwenyewe hujui hata unachokiandika then inategemea kupata ushirikiano juu ya mada yako. Yaani unazungumzia tatizo la mikopo kwa wahitimu wa chuo kikuu wakati mikopo iliyotolewa au inayotolewa inawalenga wale wanaotarajia kujiunga na vyuo vikuu au wanaoendelea na Elimu ya juu. vitu kama huna uelewa navyo bora unyamanze vinginevyo utaonekana kilaza
 
Habari za saizi wakuu

Napenda kujitokeza mbele zenu kupata ufumbuzi wa tatizo la mikopo kwa wahitimu wa chuo kikuu especial Non priority kutokana na lawama zilizoenea mitandaoni wakati serikali ikijivunia kutoa mikopo kwa vijana wote bila kujari course walizochagua

Hivyo basi ningependa kila mtu hapa jukwaani anitajie course yake na asilimia ya mkopo aliopata
Asanteni

Nawasilisha

Bodi ya mikopo hutoa mikopo Kwa wanachuo tarajali wa vyuo vya Elimu ya juu(Wanao tarajia kujiunga na Chuo) pamoja na wale wanaoendelea na masomo mpaka pale watakapo hitimu na si kweli kwamba hutoa mikopo Kwa walio hitimu. Tunaposema waliohitimu ni wale walio maliza chuo.
 
Iv wanatumia vigezo gan kuwekwa kwenye first,second batch n.k
 
Back
Top Bottom