baraka said
Member
- Sep 19, 2012
- 85
- 31
Nawakaribisha sana first year wote mliochaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha Dodoma..
LIFE is not so tight at udom kilicopo ni kuaddapt mazingira fasta na ukubali kuyaishi.
kwa wale wenzangu na mm mlioetwa COES msiuze calculator zenu kwani huku msuli ni kama kawa....
Your welcome at the college of engineers japokuwa bado hatuna makazi maaum.
much lov to all