Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari wapendwa wana JF, mimi ni mmoja wa wanafunz wa first year niliyekosa mkopo katika lot zote mbili, nikachukua jukumu la kwenda hadi loan bord kujua hatima yangu, Cha kushangaza baada ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari Wakuu Naomba Kujua Courses Wanazosoma Watu Wa Bba_af From 1st To Last Semister For Both 3 Years Samahanini Kwa Usumbufu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mambo vipi collage mate Sorry naomba kufahamishwa napaswa kwend na ada kiasi gani natak kulipa semister 1 kwanz kumbuk mkopo nimepata 0% kuna tetesi zipo ada ndogo ndogo ningependa kufahamishwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kip Muhimu zaid? Kati ya chet cha chuo ambacho kinatolewa siku ya mahafali na Transcript ambayo inatoka muda mfupi baada ya mahafali?
0 Reactions
19 Replies
7K Views
plz tembelea website ya chuo kuna information mpya ya kufanya malipo..kuna malipo mnatakiwa kuyafanya kabla hamjaenda kureport..na kama unataka kuungana na wenzio kwa group la wasap check m...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naomba msaada wa mawazo, nilipangwa na TCU St Joseph bachelor of computer engineering sasa nimefanya transfer to hubert kairuk kuchukua medicine. Tatizo mkopo niliopewa n wa computer...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Salaam.. Kama kuna mtu anaesoma chuo hiki cha st. Joseph university of information and technology songea basi naomba ani pm au accoment hapa chini. Natanguliza shukran
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni mmoja kati ya loan beneficiaries wa mwaka 2015/16 ila swali langu ni kwamba lini hizo pesa zitakuwa deposited kwetu sisi wahusika coz wengine tunazitegemea hizo ili twende chuo na vyuo...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Ni muda mrefu kidogo toka website ya wizara muhimu ya elimu kutokuwa hewani sijui watu wa IT wa wizara wanafanya kazi gani au kazi yao kubadilisha wino kwenye pinter
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi hawa Nacte nawaomba kwa wale tuliotemwa udsm tuwe selected Leo na na majina mtume bodi ya mikopo Leo Leo ilitupatiwe mikopo .Mungu ibariki tanzania
0 Reactions
4 Replies
862 Views
Bodi wanazihitaji selection za watu mapema wafanye yao Nacte mmelala tu tunawaomba Leo mtume jamani na sisi roho zitulie
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Habari zenu Hivi mtu unaweza ukaomba transfer kwenda chuo fulani kusoma kozi fulani alafu alafu ukifika uko ukabadilisha kozi tena hapohapo chuoni!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu! Mim nmekuwa nikisoma malalamiko mengi sana ya wana Jf ambao ni student's wanaotaraji mkopo, nlichokigundua ni kweli kuna waliopata na kunawaliokosa. Ila mmi binafsi nauliza je...
0 Reactions
1 Replies
988 Views
Kuwekwa1, au sekond lot wanatumia vigezo,tujue na tuwe na matumain
0 Reactions
1 Replies
941 Views
wana JF samahani naomben kujua hivi vyou vya ualimu vinavyo simamiwa na nacte vinafungua lini?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kama kuna anayejua utaratibu wa kwenda kusoma diploma in clinical medicine kwa mtu mwenye certificate in clinical medicine
0 Reactions
0 Replies
891 Views
SUA wanapokea 2244000 ambayo ni 561000 baada ya miezi miwili IFM wanapokea 2099500 ambayo ni 524875 baada ya miezi miwili UAUT wanapokea 2040000 ambayo ni 510000 baada ya miezi miwili n.k..n.k...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
jaman naomba msaada wa mawazo...nlpangwa na tcu st joseph bachelor of computer engineering sasa nmefanya transfer to hubert kairuk kuchukua medicine...tatizo mkopo niliopewa n wa computer...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau Leo nimemsaidia mdogo wangu kuhama Chuo kupitia cas. Alikuwa teku sasa amehamishiwa st Augustine mwanza. Kwenye profile status yake kashawekewa transfered. Sasa akienda mwanza anaweza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom