mafimboo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 2,415
- 978
wakuu hili suala litaigharimu taifa muda si mrefu,sera ya mikopo kwa wanafunzi elimu ya juu ni majanga,hebu fikiri chuo cha serikali na bodi ya mikopo ni ya serikali huu mchezo unachezwa kwa manufaa yanani? sera hii chanzo chake ni matokeo ya kukubali masharti ya hovyo ya wahisani,unaposema unatoa mikopo kwa watu wa science education na afya na kuacha kozi nyingine unalenga nini. hizi kozi za vyuo vikuu serikali ndio imeziweka kama inaona hazifai izifute na kuweka zinazofaa kwa mikopo inapowanyima na kuwapora haki
watanzania maskini wanaotoka kusoma kwa kuweka vikwanzo mnavyovitunga nyinyi mnawapa ujumbe gani,hivi ni nchi gani duniani iliwahi kuendelea kwa kuwa na walimu wengi ,mwalimu anamfundisha mwanafunzi ,mwanafunzi anataka kusoma kozi za kijasiriamali eg bsc food production unamnyima mkopo sasa unajenga taifa lanamna gani? mtu huyu ni productive kwa taifa umeua ajira!,unaposhawishi watu wote wasome education science wawe walimu halafu pruductive yao unaingamiza ni uhalifu wa kielimu?