kinyangesi
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 247
- 86
Ndugu zangu nchi yetu ina vituko ambavyo si rahisi kuviona kokote ulimwenguni. Rais wetu ameanza kazi kwa kutembelea maeneo yenye uzembe, aliye karibu nae amwambie atembelee tu website ya wizara ya Elimu ajionee madudu!!! Website haijalipiwa, sijui ndo technical problems sasa ni wiki ya pili haifunguki. Maana yake kubwa kama hii haiwezi kutoa taarifa na ripoti kwa njia ya kidigitali. Aibu gan hii?????
Ebu tembelea.
Ebu tembelea.