Nipo njia panda sijajua ni chague nini?

Nipo njia panda sijajua ni chague nini?

alexxis

Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
6
Reaction score
0
mm ni msichana wa miaka 19 nimemaliza form 6 mwaka huu nilisoma shule ya washichana Marian girls mchepuo wa PCM nikafanikiwa kuondoka na div 2.Tatizo linalo nikumba saiz nimechaguliwa chuo cha ifm lakini wameni select katika coz 2 (IT na banking &finance) natakiwa nichague coz moja kati ya hzo za kusoma.Moyoni naipenda sana banking bt wazaz wananilazimisha nisome IT kwakudai inalipa kwenye ajira.Waungwana naombeni mnipe msaada wa mwanga niweze japo kutetea future yangu mnanishauri nisome nn.
 
Mimi nakushauri usome kinachopenda roho yako km wazazi wako watazingua basi wambie na taka kuolewa na prototypeman wa JF.........
 
mm ni msichana wa miaka 19 nimemaliza form 6 mwaka huu nilisoma shule ya washichana Marian girls mchepuo wa PCM nikafanikiwa kuondoka na div 2.Tatizo linalo nikumba saiz nimechaguliwa chuo cha ifm lakini wameni select katika coz 2 (IT na banking &finance) natakiwa nichague coz moja kati ya hzo za kusoma.Moyoni naipenda sana banking bt wazaz wananilazimisha nisome IT kwakudai inalipa kwenye ajira.Waungwana naombeni mnipe msaada wa mwanga niweze japo kutetea future yangu mnanishauri nisome nn.

soma IT
 
Chagua Kile Ambacho Unapenda Kutoka Moyoni..It's Tru Ni Vzur Kusoma Kwa Kuangalia Channels Zenye Ajira Bt Kusoma Ktu Ambacho Unakipenda Na Kuwa Competent Ktt Ktu Hcho Ni Bora Kulko Kusoma Ktu Ambacho Hukipend Na Ukawa Shallow Coz Mwsho Wa Cku Hutapata Ajira/mafanikio Yoyote..Kupata Ajira Kutatokana Na Ufaulu Wako Mzuri Na Pia Ufanisi Katka Fani/kaz Husika...Thou Sometimes Kupata Kazi Ni Mipango Ya Mungu Pia..Jus Follow Your Heart Dear Sis...Ongea Na Wazaz Vzur Watakuelewa Tu
 
Usisome kwa minajili ya kuajiliwa , soma upate upeo so chagua ambayo utaipenda na kuifurahia bt Finance is the best kati ya hizo mbili,,,,,,,,,,, mi sio msomi sana ila IT you can stady as a option
 
hebu acha uongo.
1.matokeo ya mwaka huu hayako kwa mtindo wa division.
2.alafu hv tcu wameanza lini kumpangia mtu cozi mbili yeye achague moja???
HEBU TUANZE NA HAPO KWANZA.
 
hebu acha uongo.
1.matokeo ya mwaka huu hayako kwa mtindo wa division.
2.alafu hv tcu wameanza lini kumpangia mtu cozi mbili yeye achague moja???
HEBU TUANZE NA HAPO KWANZA.

ujue nimewaza kama ulivyowaza mkuu. hasa hapo kuchaguliwa coz mbili maana tcu haiwezi fanya upuuzi huo
 
Back
Top Bottom