Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Jamani wana JF salamaa! Mimi nauliza wale wa fifth round vipi! Maana siku zinazidi kwenda tu na majina ya mkopo ndo yashaanza kuachiliwa, sasa hawa ndugu zetu wa raundi ya tano vipi? Mwenye idea...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jaman bodi ya mkopo wameninyima mkopo natafuta mtu wa kunisponsor
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari! Samahani kama umefanikiwa kufanya transfer ya chuo kimoja kwenda Kingine mkopo Wana ku Consider?
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Hello! Guys Tumeambiwa wanasoma masoma ya science watapewa sana kipaumbele kwenye masomo lakini kwetu huku ni kinyume kabisa, nashindwa pata hata picha, katika chuo chetu IAA.. Hakuna hata...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Msaada tafadhali kama kuna mwenye namba za rais wa chuo hcho tajwa hapo juu au za loan officer wa chuo hcho tajwa
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu.. Kwa yeyote yule ambae kasoma State university of Zanzibar (SUZA) Naomba ani pm au accoment hapa chini. Kuna maswali nataka kuuliza. Natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WAKUU,tafadhali naombeni mnijuze ninyi kama great thinkers. kuna tofauti gani kati ya architecture na software architecture?au software architecture imo ndani ya architecture?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Iv na chuo kuna tuition kama za mchikichin?! Maana nmeandkiwa tuition fee 2000 tsh😂😂😂😂😂
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wana jamvi niliomba udsm kupitia Nacte udsm wamenitema naenda Nacte wananipanga chuo kingine sikukipenda nikapewa fom nikajaze ili niombe chuo kingine naenda hicho chuo kufanya application...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nlichaguliwa chuo mwaka Jana na nikapewa mkopo,lakin kwa bahat mbaya chuo skuenda coz nlipata matatizo, mwaka hu nmefanya application ya chuo na mkopo upya , ivi wanaweza kunipa mkopo...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau naombeni mnieleweshe kidogo.Mimi nilikuwa nachukua diploma ya clinical officer(mwaka wa kwanza) uongozi wa chuo ulivikusanya vyet vyetu vya form 4 na kuvipeleka wizara ya afya kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Heshima mbele wakuu! Naomba kujua mwenye connection na wanaosaidia watu kusoma elimu za juu nje ya nchi kwa gharama nafuu! Ni utaratibu upi unaotumika kama mtu unataka kuomba mikopo kupitia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Rejea kichwa habari hapo juu. Mimi ni mwajiliwa mpya ktk serikali natafuta ufadhili wa mashirika au mtu binafsi niweze kutumiza ahadi ya kumsomesha mtoto wa kike wa dada yangu. Amemaliza darasa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Dah Heslb walitaka kunistaafisha Elimu Aiseee. Nlikuwa nimeshatafuta shamba nkalime mwanza
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Registration zinaanza lini? Na admission form zinapatikana wapi?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WE TEMBELEA TUH KWA PROFILE YAKO SASAIV BILA KUCHELEWA ......:A S-fire1::attention: http://cas.tcu.go.tz/users/login
0 Reactions
17 Replies
3K Views
SERIKALI YA WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (DARUSO) TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MIKOPO KWA WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA Ndugu wanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo kikuu...
1 Reactions
75 Replies
13K Views
Naona wahanga wa mikopo chuo kikuu mmepata afueni rais JPM kawakumbuka kasema lipatiwe ufumbuzi maramoja so soon mambo yatakuwa mazuri nahisi wiki ijayo mtaanza kula bata. N.B JPM huwa hapendi...
0 Reactions
48 Replies
9K Views
Habari nahitaji kujua kama mtu ambaye ameandikiwa not secured kwenye first lot atapatiwa mkopo kwenye second lot na Je kuandikiwa not secured kwa first lot ni kwamba una vigezo vya mkopo ila tu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha Dar es salaam. Wanaendelea kuwaomba wahanga wa mikopo kuendelea kuvumilia kwa maana swala linakaribia kupata utatuzi hivi punde na wanaahidi matokeo mazuri...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom