Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naweza kufuatitia admission letter yangu katika uongozi wa chuo maana katika Web haipo hali ya kuwa nimechaguliwa Ahsanteni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakubwa nilikua naulizia kituo gani kizuri cha kufanyia mtihani wa form six kwa science (pcb) kwa anae resit yan private candidate,na taratibu za kufuata kujisajili. Kuna mdogo wangu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman wapendwa,Mimi Ni mmoja WA continuous students walio omba mkopo niko Udsm mwaka WA pili,nilikua nauliza kama Kuna mtu Ana taarifa juu ya hatma yetu atujuze hapaa plzz
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nina bachelor of arts with education masomo Geography and history,je naweza soma master ya law,sociology au international relation.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu kama kuna mtu yeyeto humu anayesoma UDSM coz ya BCHRM tafadhali naomba tuwasiliane. 0768170048 awe first year, second au third.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamii Forum, wale wasomi wa IFM miaka ya 90 tukumbukane hapa jamii forum.
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu imesema itatoa batch #3 kesho tar13 kwa wanafunzi takribani elfu9 wa mwaka wa kwanza 2015/2016 wenye sifa waliobakia.. kwa wale wanaosubr kaeni mkao wa kula...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Lot#3 diploma holders wengi wamelamba mkopoo kwenye 82%...92%....hizo % haziwekwa unaconvert mwenyew. Tena hawakujali umechagua fuculty gani, hadi wa BBA wamewazdi wa education mkopoo. Kweli...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wale tuliochagulia collage of engineering na sie tukutane apa tujuzane mawili matatu. kabla ya tarehe ya registration
0 Reactions
130 Replies
14K Views
ni kweli kuna ulazima wa mwanafunzi wa first year diploma kuwa na "drawing board".kwasababu kifaa hicho ni gharama mno na watoto wa wakulima hatuna uwezo huo.tafadhali naombeni mnisaidie ndugu zangu!!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jipende au mpende mwanao au mdogo wako MLETE APATE ELIMU NA MALEZI BORA. wapi? UJIJI ISLAMIC sec Kidato cha I mpaka IV ADA:1,000,000/= bweni 400,000/= kutwa ujiji kigoma Simu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jaman kama kuna mwaka wa kwanza aliyechaguliwa SJCET Electrical and communication engneering na ameshakamilisha usajili chuoni naomba tuwasiliane maana kuna issue ya maana kidogo. 0753601095
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nmechaguliwa chuo cha tanga school of nursing leo nkacomfirm ila sas kupata joining instructions ndio nmeshindwa kma kuna mwenye ufahamu anisaidie Shukran
0 Reactions
3 Replies
977 Views
Mimi ni miongoni mwa eligible applicants wanaosubiri awamu ya tatu ya mkopo kwa 2015/2026 ambae pia ni continuing student.Ninaomba kujuzwa na WAHUSIKA WA BODI(naamini wamo humu JF) au mtu yeyote...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu Mimi ni miongoni mwa wanafunzi waliochaguliwa NIT kwa mwaka wa masomo 2015/2016 natafuta hostel ambazo zipo nje ya chuo kwa mwenye ufahamu juu ya hilo anisaidie. Natunguliza...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Natafuta chumba maeneo ya mabibo karibu na chuo cha NIT mwenye uwezo wa kunisaidia tafadhari tusaidiane NB:lugha chafu haziruhusiwi
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Ndugu yangu alichaguliwa National Institute Of Transport, Bachelor degree of education with Mathematics and information technology. Hajapewa mkopo wala Hakuna aliyepata mkopo kwa course hizi mpya...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Je, hii inakuaje? Source:TBC {KWA MWENYE UFAHAMU TAFADHARI}
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tayari Wameachia Mkopo Raundi Ya Tatu Fungua Loan Allocation olas.heslb.go.tz utaona lot ya 3 new
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom