UDOSO Na Management ya UDOM kulikoni

UDOSO Na Management ya UDOM kulikoni

mbota

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,072
Reaction score
641
Chuo cha Udom Na Udoso mnafanya mambo kama si wasomi hivi inakuwaje MTU yupo off campasi halafu mnasema lazima alipe hela ya hosteli Na ya Bima wakati constitution ya chuo inasema wazi kama MTU akiwa Na mimba au Mtoto haruhusiwi kukaa hostel

Sasa hii hela mnayotaka ya hosteli Na MTU hatakaa ndani ya hostel kwa maana anakaa nje kwasababu anamlea Mtoto je huu si ufisadi jamani ni chuo gani duniani kitafanya decision kama hii bila kujali wanachuo huu ni ujinga uliopitiliza
 
jaribu kulipoti katika ngazi za juu zaidi natumaini utapata maelekezo ya kina kwanini imekuwa hivyo.
 
Yani sielewi hii management inafanyaje maamuzi
 
Yani haiwezekani mfanyakazi ambaye tayari ana bima ya taifa analazimishwa atoe tena laki moja ya bima ileile huu ni unyanyasaji
 
Hiv kuna mashirika ya bima ya afya mangap TZ,Mtu una bima kazin kwako,unalazimishwa utoe lak upewe kad ya bima hii ikoje
 
Tulikuwa tunatoa TSHS 49,600/=cc wenye bima,haya mabadiliko ya kulipa amaunt yote hata ukiwa na bima yanahitaj ufafanuz!
 
Wahuni wengi sana Tanzania mpaka Kwenye elimu ya juu tunaburuzwa
 
Chuo cha Udom Na Udoso mnafanya mambo kama si wasomi hivi inakuwaje MTU yupo off campasi halafu mnasema lazima alipe hela ya hosteli Na ya Bima wakati constitution ya chuo inasema wazi kama MTU akiwa Na mimba au Mtoto haruhusiwi kukaa hostel

Sasa hii hela mnayotaka ya hosteli Na MTU hatakaa ndani ya hostel kwa maana anakaa nje kwasababu anamlea Mtoto je huu si ufisadi jamani ni chuo gani duniani kitafanya decision kama hii bila kujali wanachuo huu ni ujinga uliopitiliza

Deka zao zinaharibika kisa nyie!!!
Maisha ya deka kuuuuuuule adv na olevo!!!! 🙂
 
ukiwa na mimba hulipi unaonyesha kibali ulichopewa cha kukaa nje then ts over....otherwise ukute huna kibali au umelipa kabla ya kibali hutorudishiwa......kingne kinschoumiza ukizdsha ada bahat mbaya hawarudishi hata km laki tano utazungushwa mpk umalize chuo yan walinkera sana
 
me unanikela udini uliopo katika chuo hiki ..yaani ni shida.
 
ukiwa na mimba hulipi unaonyesha kibali ulichopewa cha kukaa nje then ts over....otherwise ukute huna kibali au umelipa kabla ya kibali hutorudishiwa......kingne kinschoumiza ukizdsha ada bahat mbaya hawarudishi hata km laki tano utazungushwa mpk umalize chuo yan walinkera sana

Yani MTU una Mtoto unaambiwa lazima ulipe hostel ni unyanyasaji huu jamani
 
kwani form yako si ina kipengele kinachoonesha unataka kuishi wapi?Kama ulisema unataka kuishi ndani ya chuo then kwa mbwembwe zako ukaona ufahari kuishi nje lipa hela ya watu hadi mwakani au semester ijayo uandike barua upya ya kuomba kuishi nje ya chuo.
"hivi hili swala umelipitisha kwenye uongozi wa ma block yenu/warden wako?maana unakuta umesikia tu"
 
Mwaka wa tatu mkuu nakumbuka huu ndio mwanzo wa muhula
 
umefuatilia kwa warden wako?maana najua hata ma warden wanakua na form maalum kwa ajili ya kujaza taarifa zako kama unaishi nje ya kikosi.sijui kwa sasa hivi ila najua hilo lipo
 
Poleni, CCM wanakusanya hela za uchaguzi mwakan.
 
Tuwe makini na taarifa tunazotoa kwenye mitandao.
Nina uhakika hata chuo bado hujaenda uko tu nyumbani unapiga simu unauliza mambo yanavyoenda thn unakimblia kulalamika huku jf.
Form ya registration ya warden ina sehemu ya kujaza km unakaa offcampus au hostel. Km unataka kukaa offcampass lazima uandike barua ya kuomba kibali kwa dean of students.
Kibali hicho ndicho utakitumia Wakat wa usajili ili usilipie hostel.
Kuhusu suala la bima siwez kulitolea ufafanuz ila mwaka jana wale wenye bima walilipa kiasi kidogo kwa ajili garama ambazo kwa kawaida hazilipiwi kwa bima
 
Ninavyoongea hapa ninamaanisha maana huyo warden au dean of students hana lakusema Na hili tangazo katoa mkuu wa chuo nipo Dodoma ndugu usidhani ni taarifa za kusadikika
 
Back
Top Bottom