Wakuu,habari za siku.mimivni kijana wa form Six na ninategemea kumaliza mwaka kesho.nilikuwa naomba ushauri..
Nimepata mtu wakunisomesha marekani katika chuo kimoja cha uhasibu kinachodhaminiwa...
Pakua faili la PDF kuona majina ya waliochaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kwa kozi za shahada na zisizo za shahada kupitia Kamisheni ya Vyuo Vikuu na Kamisheni ya Vyuo vya Ufundi;
Angalien Profile Zenu Za Nacte Mtakuta Kipengele Cha Kuhama Chuo Na Courze Na Bahati Nzuri Ukichagua Courze Kama Haupo Legible Wanakwambia Hapo Hapo Changamka Aisee
WanaJf .,wadau kada za afya tusaidiane wakuu nn cha kufanya.,mm ni muhanga wa hili tatizo nmefeli chemistry hayo yote nmefaulu .,na mpk ss cjui cha kufanya nlitamani nisome clinical au...
Wadau habari zenu,poleni na kibarua cha elimu ya Tanzania... kwa wale ambao wanataka kuhama vyuo kupitia TCU nadhani mpaka sasa CAS haifunguki...katika page hii tunaomba tujuzane itakapofunguka,au...
Hii imekua kero kwa watoto wengi wa masikini,na imepelekea watu kuahilisha na kutumia pesa zao baada ya kubaini kuwa kinacho fanywa na heslb ni kama udanganyifu vijana wengi hawajapata mkopo na...
UDOM wameachia batch 3 tayari, tembelea www.udom.ac.tz kuangalia jina lako.
Poleni mliokosa mikopo ila kusoma bila mkopo inawezekana asikutishe mtu na kumbuka ukiwa mwaka wa pili kuna uwezekano...
Nilijiuliza sana kwanini vyuo vya Elimu ya Juu vilichelewa sana kufunguliwa Mwakangale Juu sikupata jibu, sasa ni wazi ucheleweshaji huo ulitokana na idadi ndogo ya wanafunzi ambao watapewa mkopo...
Kuna watu wamejipanga kukosoa serikali mpya. Sasa soma taarifa hii mpaka mwisho uone inavyoshughulikia matatizo ya Wtanzania
SERIKALI YA WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (DARUSO)
TAARIFA KWA...
ZAIDI ya wanafunzi 50,000 watashindwa kuendelea na masomo ya elimu ya juu kutokana na kushindwa kupata mikopo kutoka katika Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB). Anaandika Charles William...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.